Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Ki ufupi bado sijaona timu itakayosepa na huu ubingwa msimu huu maana hata hao Manchester City nao sio ki vile japo wametoka kucheza mechi 2 hivi karibuni tafu sana...Sio mechi I hii tu Mkuu rejea mechi ya Bradford city.
Huu ubingwa upo wazi sana tofauti na ilivyoonekana wakati ligi inaanza.
YNWA
