Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Salah anaibeba hii liverkuku na anataka mzigo kwa week pound lako tano ongezeni pesa la sivyo mtakosa huruma take.
 
Kubali tu, kwamba chelsea ina beki bora.

Angalia timu iliyoruhusu goal chache katika major league za Europe.

Halafu wewe umekaa mbwinde huko unasema tuna beki mbovu?
Chelsea mechi saba za ligi imefungwa goli 3 tu
Liverpool goli 6 akicheza mechi 38 itafika goli 20+

Sisi tutaenda hivi hivi siku timu ni mbovu kama mechi na city goli moja tunaruhusu, tena kwa timu kubwa
Siku tukiwa form tunabugiza tu hatuangalii sura
 
Nyie matakataka Hadi arse8 anauhakika wa kupata magoli siku mkicheza nao😂😂😂
 
Kwa Hindi beki yenu inavyoruhusu mabao kizembe ni ngumu Sana kwa nyie kuwa mabingwa. Labda itokee performance ya city na Chelsea imeshuka. Lakini ukiwa Hivi Hivi hata man u anaweza kukuacha nyuma
Liverpool ka fungwa goli sita sawa na man u sasa sijui unaongea nini,

Msimu ulipita liverpool karuhusu magoli mengi zaidi ya Chelsea, ilikuwaje tukamaliza above chelsea!
 
Man u nao wanajimwambafy huko
Screenshot_20211003-223018.jpg
 
Kwa Hindi beki yenu inavyoruhusu mabao kizembe ni ngumu Sana kwa nyie kuwa mabingwa. Labda itokee performance ya city na Chelsea imeshuka. Lakini ukiwa Hivi Hivi hata man u anaweza kukuacha nyuma
Mkuu huo ndio ukweli kabisaaaaa ili mmoja awe bingwa lazima wengine awaombee njaa na ukame wa ushindi hilo lipo wazi...

Wewe unatuombea njaa wengine ili uzidi kujiimarisha kileleni ki ufupi ndio jukumu letu mashabiki wakati wachezaji wanapambana uwanjani sie huku ni kuombeana vipigo ama sare...

Hii Liverpool ndugu usiichukulie powa kabisa hua namwambia uwe na maneno ya akiba aisee. Hata wewe ni shahidi tulivyomaliza ligi nafasi ya 3 msimu uliopita ilikua busu la malaika maana baaada ya vile vipigo vya Anfield wengi walisema hatumo tenaaaa lakini kipenga cha mwisho Mei 2021 tulikua tupo juu yako ndugu...

Tukutane baada ya mechi za kimataifa.. Jiadae maana wakati Lukaku mechi ya 4 au 3 hajatupia Salah ni kila mechi nyavu anatingisha.

YNWA
 
Kubali tu, kwamba chelsea ina beki bora.

Angalia timu iliyoruhusu goal chache katika major league za Europe.

Halafu wewe umekaa mbwinde huko unasema tuna beki mbovu?
Unamjua Jesus (Yesu) na Chiesa (Kanisa) ? Waliifanya nini hiyo beki nzuri?

Kumbuka msimu huu Liverpool hatujapoteza game hata moja wakati nyie tayari Yesu na Kanisa walishawafirimba.
 
Mtaendelea kujisifia 16 unbeaten lakini mlisahau 2018/19 Man city alichukua ubingwa kwa sababu ya ujinga huu huu wa unbeaten, na mnasahau kuwa droo nazo zinazopoteza point nyingi
Mfano sisi tumefungwa tumejiuliza tumeshinda tunaongoza ligi, ninyi na unbeaten yenu mko chini yetu, simple maths
Wewe Chelsea hata ukishinda hufiki mahalii....kwa strikers wap.... power trailer.....lukakuu?
 
We robbed ...

Milner deserved second yellow card and sent off...

Tulikuwa tunashinda game
 
Nyie kuku huu msimu mutatoboka Sana hamuna beki Tena was kuzuia magoli.
We mbuzi upo kwenye uzi wa wanaume....naona ulitegemea mmeo ashinde....ama kweli wanawake mkiwezeshwa mnawezaa.,..Chelsea ungekua na beki za kuaminika ungepigwa na vibabu wa Turin nice mbwa ww... city mmeo alikukojolea kimoja mpaka saiv uko nacho matakon fala Sana....

Halafu unakuja kuleta uhanangwa kwenye nyuzi za watu ....potea kima ww
 
Ukiona mtu/watu wanakufatilia sana ujue una mafanikio..

Anatamani team yake iwe Kama liverpool
 
Mkuu huo ndio ukweli kabisaaaaa ili mmoja awe bingwa lazima wengine awaombee njaa na ukame wa ushindi hilo lipo wazi...

Wewe unatuombea njaa wengine ili uzidi kujiimarisha kileleni ki ufupi ndio jukumu letu mashabiki wakati wachezaji wanapambana uwanjani sie huku ni kuombeana vipigo ama sare...

Hii Liverpool ndugu usiichukulie powa kabisa hua namwambia uwe na maneno ya akiba aisee. Hata wewe ni shahidi tulivyomaliza ligi nafasi ya 3 msimu uliopita ilikua busu la malaika maana baaada ya vile vipigo vya Anfield wengi walisema hatumo tenaaaa lakini kipenga cha mwisho Mei 2021 tulikua tupo juu yako ndugu...

Tukutane baada ya mechi za kimataifa.. Jiadae maana wakati Lukaku mechi ya 4 au 3 hajatupia Salah ni kila mechi nyavu anatingisha.

YNWA
Mashabiki wa Chelsea walio wengi akili Ni chachee mno.....Ila ukweli Ni kwamba wanaiogopa Sana LIVERPOOL
 
Player ratings
Liverpool vs Manchester City player ratings.

Liverpool:

Alisson (7),
Milner (5),
Matip (7),
Van Dijk (6),
Robertson (7),
Fabinho (7),
Henderson (5),
Jones (6),
Salah (9),
Jota (6),
Mane (8).

Subs used: Firmino (6),
Gomez (6)

Sky sports.

Leo Henderson amekua na gemu mbaya sana pasi nyingi zilipotelea kwake. Sijashanga kuona Sky wakimpa rate ya 5.

Milner man huyu babu kumlaumu ni bure kabisa Foden na Grealish sio watu wazuri kabisa. Na zile pasi za Rodri ilikua tafu sana huyu babu kukaa sawa.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom