Silas Furniture
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 246
- 137




But January sio mwezi mzuri kwetu. So let's have faith tutayapita haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuja kukutukana kwa kiingereza shauri yako
Kwani top five leagues Serie A haimo?Kumbe unaongelea ligi za kawaida nilijuwa Top five leagues
Wewe wanakufaidi niniWewe ungekuwa demu nadhani watu wangefaidi sana




Acha tu nimepata pa kupoozea machunguMkuu inaonekana kipigo cha Leicester kilikuuma sana maana Huachi kukifanyia reference.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app



Hahaha anafaa kuchukua mikoba ya SalahNashauri apewe mkataba wa kudumu.
Timu imechoka, binafsi sijui hata nini kifanyike.
Umemchoka sana mkuuNafikiri lile joto analopata akikumbatiana nao ndo linasababisha aendelee kuwaweka.
... Jana kasema alaumiwe kwa yote na anaiona hatari zaidi ya kuikosa top four 
Umemchoka sana mkuu... Jana kasema alaumiwe kwa yote na anaiona hatari zaidi ya kuikosa top four
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Anakula nao so lazima afanye sugar coating za kutoshwa kibarua kisije ota nyasi... Ubaya kajikuta katikati ya kiza... Kweli ana issues za CB but je kule mbele?Hahaha, hata tukimlaumu hairudishi points tulizo poteza.
Acha ajifunze, maana anawalegezea sana matajiri. Anatakiwa akomae nao kumpa watu.
Anakula nao so lazima afanye sugar coating za kutoshwa kibarua kisije ota nyasi... Ubaya kajikuta katikati ya kiza... Kweli ana issues za CB but je kule mbele?
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Kweli kwa hali ilivyo ni kubaki Liverpool halisi mpaka mambo yatakapojisort yenyewe as sioni mkisajili watu kama watu hiviKule mbele matatizo ni makubwa zaidi, Firmino ameisha, Salah anatafuta mkataba mpya kwa hiyo anafanya kutengeneza statistics nzuri kitu kinacholeta uchoyo, Mane ukijumlisha kwamba ana hasira na Salah pia concentration imepungua.
Ukijumlisha na Mids tulizo nazo ndo mchanganyo unazidi.