Anaendelea kujifunza rules za LIVERPOOL HALISISasa mkuu mbona hueleweki?? Umesema wewe ni Liverpool HALISI wakati unakoment kiliverpool Maslahi, uko upande gani ngwaba
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Boss kupoteza games 3 inatosha kufanya ujiamini ni fair ila unajua kuna timu haikufungwa hata mechi moja na haikuchukua kombe?Eti Liverpool hana nafasi kubwa? Acha kuwadanganya watu,round ya kwanza wengine bado hata wajamalizia mechi zao .eti liverpool wameona hawana nafasi acha kutusemea sisi tunaamini tuna nafasi kubwa sana maana huko tunapoenda ndio wachezaji wetu wote watakuwa wamerudi klopp atakuwa anachagua tu aanze nani.
Jua kutofautisha kati ya kuongoza ligi na kuwa bingwa.
Liverpool inasifa zote za kuwa bingwa mpaka sasa round ya kwanza imeisha amepoteza mechi 3 tu.
Castr yupo vizuri lakini muda mwengine anajichanganya.
Anashindwa kutofautisha Uwezo na Nafasi.
Bora angesema Liverpool haina uwezo wa kuchukua Ubingwa basi ni rahisi kudefend hoja zake! Lakini kusema haina nafasi hapa kapoteza.
Liverpool uwezo wa kuchukua Ubingwa kidogo inafikirisha lakini kuhusu nafasi ya kubeba ubingwa bado wanayo kwani Nafasi ni Mathematically.
.
Sasa united ajiandae kupangiwa kikosi zaidi ya alichopangiwa Villa. Villa alijifanya anachezesha under 23 alishangaa kujikuta ana kwa ana na vibaba vya Klopp. Sasa safari hii uhakika wa ligi umeyeyuka huku yeye mwenyewe klopp akikiri hilo naona sasa ataanza kuwinda yale makombe aliyoyapachika jina la mickey mouse trophies.
United hiyo mechi wanakufa as wenyewe wameelekeza nguvu kwenye ligi.
Tunapigwa mchana kweupeee kama huamini subiri ujionee
Ila hamna mahali nimesema liva haina uwezo wala nafasi hiyo ila nimesema Klopp anaandaa mazingira ya FA. Na hamna nafasi kubwa as gepu linavumilika. Plus Jana Klopp kasema liva haina kikosi cha kugombea trophy.Castr yupo vizuri lakini muda mwengine anajichanganya.
Anashindwa kutofautisha Uwezo na Nafasi.
Bora angesema Liverpool haina uwezo wa kuchukua Ubingwa basi ni rahisi kudefend hoja zake! Lakini kusema haina nafasi hapa kapoteza.
Liverpool uwezo wa kuchukua Ubingwa kidogo inafikirisha lakini kuhusu nafasi ya kubeba ubingwa bado wanayo kwani Nafasi ni Mathematically.
Hatoweka kikosi B ila unaweza kuta De Beek, Ighalo na James wanaanza.Me nadhani mechi kati ya Manchester United Vs Liverpool ni mechi ya kulinda heshima haijalishi ni michuano gani.
Sitegemei Sorskjaer kuanzisha kikosi B.
Yani livakuku akiweka ugoko tunaweka chuma.
Hatoweka kikosi B ila unaweza kuta De Beek, Ighalo na James wanaanza.
Boss kupoteza games 3 inatosha kufanya ujiamini ni fair ila unajua kuna timu haikufungwa hata mechi moja na haikuchukua kombe?
Trent baada ya majeruhi amekua siyo kama wakati msimu unaanza, majeruhi hubadilisha attitude ya mchezaji. Upo sure watakaorudi watakua same players?
Kikosi chenu kina nafasi ya ubingwa? On paper yeah. So is Chelsea and City. Arsenal tunapigwa kushoto, kulia na kati ila ukiangalia on paper unasema hii timu haikustahili kupigwa na Burnley.
Am sure utazidi kua logical kadri muda unavyoenda.
JamaaKila siku si munaambiwa humu kua Sera yenu ni kuuza na kununua.
Bila kuuza mchezaji hamununui mchezaji hapo.
Timu ya kibahili kinoma, yani hata ukinywa bia unaulizwa "umepata wapi pesa"?.


una maneno kisenge
Arsenal 2004Tukumbushe ni timu gani hiyo haikuchukuwa ubingwa pamoja na kumaliza msimu Bila kufungwa
Vitu vingine vikisemwa unahisi kama vimetungwa eeh?Tukumbushe ni timu gani hiyo haikuchukuwa ubingwa pamoja na kumaliza msimu Bila kufungwa
Haikuchukua kombe? Arsenal gani hii?Arsenal 2004
Arsenal 2004
Vitu vingine vikisemwa unahisi kama vimetungwa eeh?
Anyway kuna Perugia, Benfica na Spartak Sofia hawakupoteza hata mechi moja na hawakunyanyua kombe.
Rangers walipoteza game moja tu na hawakuchukua kombe.
Umeridhika?