Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mi naona kwa kweli Klopp kuumia kwa VVD na Gomez kunamyima system flexibility...

Klopp anajua Fabinho CB hana pace hivyo hata tukishambulia lazima MF mmoja anakua pale kati kusaidia tusipigwe kaunta.. Tunashambulia kwa tahadhari kubwa sana maana huku nyuma kunakua sio salama kama zamani akiwepo DM Fabinho vijana walikua wanajua mr Sweeper atafanya yake hata tukilose possession Fabinho was there to kill any danger na hata Fabinho akipitwa kulikua na VVD who is good on one on one na hata nae akipitwa kuna Allison who is also good on one on one muukize Lacazatte analijua hilo...

Kwa sasa hayo yote hayapo Klopp is torn between akumbali ku risk kama gemu ya Aston Villa ama asonge mbele na hii mentality ya sasa..

He is the gaffer he will find solution to this that he is paid all the chums to look for solutions not moaning here and there...

Our main threat kwenye kona ni VVD na Matip kwa mbali nako majeruhi yametupokonya...

TAA ipo shinda kwake they need bring to speed...

We stay put we have been worse than this... We will come back stronger

YNWA

We will come back stronger Mkuu.

In klopp we trust .
 
Adjustments.jpg
 
We ndio mwenye timu yako, hao wengine wachunguliaji tu.
Liverpool HALISI haya yote tuchukulie kama sehemu ya matokeo ya mpira,tumepoteza na sasa tunajipanga kwa mechi zijazo!
Waache Liverpool MASLAHI waendelee kuongea vibaya kuhusu team,sisi tuzidi kishikamana.
In Klopp we believe
 
Mashambulizi yapo ndugu ila ndio hayana macho wala miguu na yanapotua kwa vijana aidha wapige nje ama kwa kipa...

Fahamu winning is addictive inakupa ma confidence ya kutosha...

Losing is addictive pia its drain you na kukosa kujiamini hasa pale when chances arise...

Klopp has been around for long kujua how to survive this kind of mess na hii ndio ita define this season outcome...

Tatizo la beki ni kwamba hatu hold tena highline kama zamani kwa vile most of the games this season beki sio kamilifu.. Hatuna mabeki wa hio highline Fabinho hayupo quick.. Jana kazi ya Matip imeonekana defense wise leading the guys from the game may he get better..

YNWA
Si umeona hapo mwenyewe umesema kua mipira inatua kwa forward ila wanashindwa kuscore? Haujasema inatua kwa beki ila anashindwa kuscore, so tatizo siyo beki ni forward.

Sasa bro unataka kufanya highline ya nini ikiwa mpira muda wote unao wewe? Mlifanya highline na Virgil yupo dhidi ya Villa.

Shots nyingi ila jana mlicreate big chance 1 tu na Burnley walitengeneza 1. Mlivyocheza na united mlicreate big chance 1 pia, united alitengeneza mbili na possession mliongoza na idadi ya shots.

What does this mean? Mnahitaji namba 8 na 10. United walicreate chances kuwazidi as wana orchestrator Pogba na AM Bruno. Mlivyomsajili Thiago nilisema anaendana na staili yenu ya uchezaji, kwamba mnataka mid inayohold mchezo huku chance creators wakiwa fullbacks.

So it's either msajili fullbacks wa kariba ya kina Hakimi au AM na forward. Au badilisheni formation.
 
Well said Castr...

Mara chache sana utaona mashambulizi yakipita kati kwa vile 10 ama 8 wa ukweli hayupo na akiwepo Keita out out ni zigzag hana consistency...

Kazi kwa mwalimu aidha waingie sokoni ama aje kivingine na mfumo.. Muda utasema...

YNWA
 
The reason Klopp alijinasibu hana muda wa kugombea trophies zaidi ya ucl na ligi ni kwakua hana kikosi kipana. Sasa muda huu kashaona ligi hana nafasi kubwa kwanini asiweke mazingira ya FA vizuri?

United yupo namba moja na anahitaji kuongeza gape la point. Iwe iwavyo ataingiza kikosi kama walichoingiza Villa ila liva ataingiza kikosi zaidi ya alichoingiza siku anacheza na Villa.

Eti Liverpool hana nafasi kubwa? Acha kuwadanganya watu,round ya kwanza wengine bado hata wajamalizia mechi zao .eti liverpool wameona hawana nafasi acha kutusemea sisi tunaamini tuna nafasi kubwa sana maana huko tunapoenda ndio wachezaji wetu wote watakuwa wamerudi klopp atakuwa anachagua tu aanze nani.

Jua kutofautisha kati ya kuongoza ligi na kuwa bingwa.

Liverpool inasifa zote za kuwa bingwa mpaka sasa round ya kwanza imeisha amepoteza mechi 3 tu.
 
Castr yupo vizuri lakini muda mwengine anajichanganya.
Anashindwa kutofautisha Uwezo na Nafasi.

Bora angesema Liverpool haina uwezo wa kuchukua Ubingwa basi ni rahisi kudefend hoja zake! Lakini kusema haina nafasi hapa kapoteza.

Liverpool uwezo wa kuchukua Ubingwa kidogo inafikirisha lakini kuhusu nafasi ya kubeba ubingwa bado wanayo kwani Nafasi ni Mathematically.
 
Achana na Liverpool PEP njoo Liverpool HALISI tujenge Timu hata hatuhitaji usajili huku ni Mshikamano tu na kumuomba Mungu ndiyo tutapata ushindi.

Sisi Liverpool HALISI ndiyo wenye uchungu na hii timu, bila mshikamano wetu chini ya kapteni bora kabisa kuwahi kutokea Uingereza kama si duniani kote tusingepata makombe yote tuliyopata.

Tuendelee kushikamana, tutapata makombe mengine, wala hatuhitaji usajili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom