King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,367
Do not disturb our front 3 ndiyo waliotupa makombe
Mpira haupo ivyo mkuu, kwaiyo United itaingia dhaifu?Sasa united ajiandae kupangiwa kikosi zaidi ya alichopangiwa Villa. Villa alijifanya anachezesha under 23 alishangaa kujikuta ana kwa ana na vibaba vya Klopp. Sasa safari hii uhakika wa ligi umeyeyuka huku yeye mwenyewe klopp akikiri hilo naona sasa ataanza kuwinda yale makombe aliyoyapachika jina la mickey mouse trophies.
United hiyo mechi wanakufa as wenyewe wameelekeza nguvu kwenye ligi.

.
Kila game nikujipanga Game ya tano sasa tuna matokeo mabaya kwangu naona mbele nipagumu zaidi tusipobadilika/kusajili ni wazi hata top 4 hatupatiLiverpool HALISI haya yote tuchukulie kama sehemu ya matokeo ya mpira,tumepoteza na sasa tunajipanga kwa mechi zijazo!
Waache Liverpool MASLAHI waendelee kuongea vibaya kuhusu team,sisi tuzidi kishikamana.
In Klopp we believe
Ingekuwa jogoo anaogopwa angekuwa anaongoza league.Wewe hujui Soccer Management, umetoka zako Kishumundu huko unamkosoa Klop? Nani hayaogopi Majogoo?
Mkuu hua hawa vijana wetu wapo vizuri kwenye quick attack sio hii ya kusubiri ukuta umeshajengwa aafu tuanze mashambulizi la hasha... Ipo hivi kikosi kikiwa kamili tunakua deadly bila mpira maana hua tunausaka kama dhahabu na pindi ukipatikaana kule kuke half ya upinzani tunaanza mashambulizi fasta kabla timu pinzani hawajajipanga defence formation yao.. Hii ndio our best formation tangu 2018 henceforth... Ili hilo lafanikiwe lazima uwe na DM wa uhakika ili kuwapa nafasi Robo na TAA kubaki half ya upinzani kusudi wasaidie kushambulia muda huo Salah Mane Firmino wanakua ndani ya 18 ya upinzani wakisubiri zile juicy pass za TAA ama Robbo na kwa vile upinzani wanakua stretched hawana muda wa kujipanga na huku pia Hendo Gini wanakua very near 18 ya upinzani to add the numbers and extend width of the pitch kuwa stretch mabeki wa upinzani hapo magoli yanakua mengii mnooo...Mkuu mbona hata nafasi zikipatikana bado hawa jamaa wanashindwa ku score? Imagin jana wote wamepata nafasi wamezichezea,
Mazafanta, SISI NI LIVERPOOL HALISI, tuzidi kuiombea team, tuzidi kushikamana, In Klop and Hendo WE TRUST
Mashambulizi yapo ndugu ila ndio hayana macho wala miguu na yanapotua kwa vijana aidha wapige nje ama kwa kipa...Umeniacha hoi hapo kwenye '.... na kuleta makombe mengi Anfield'
Tatizo lingekua beki ingekua mnashinda ila hamuwezi kupata clean sheet. Kushindwa kuscore siyo tatizo la beki ni forward.
Kwa hiyo mngenunua mabeki ndo mngeshindaHadi leo hii ni siku ya 21 toka dirisha la usajili lifunguliwe mabeki wote wako wodini lakini tumelizika tu na kunyamaza kimya kwa sababu Fabby na Hendo wapo, hahahahahah matokeo yake stability ya timu inakosekana kabisa mpaka manure wanatoka na point Anfield, haya ni maajabu makubwa sana

kubali team yenu yote imechokaMkuu inaonekana kipigo cha Leicester kilikuuma sana maana Huachi kukifanyia reference.Tulivyopigwa na Leicester Muliona dezo![]()
Sasa mkuu mbona hueleweki?? Umesema wewe ni Liverpool HALISI wakati unakoment kiliverpool Maslahi, uko upande gani ngwabaImagine Timu inayotetea Ubingwa Wachezaji wake wa kufanya Rotation ni Origi halafu Mtu aseme Ulaya hakuna Wajinga.
Liverpool Maslahi utamjua tuTunapigwa mchana kweupeee kama huamini subiri ujionee



Origi ametuchelewesha sana.
Nasema uongo ndugu zangu?
Itakua mganga wenu ni mmoja.Msimu ulioisha, Burnley peke yake ndo alipata draw Anfield.
And now amekuwa wa kwanza msimu huu kututoboa.
Haiwezekani timu mabeki wote wako wodini halafu kusajili kimya kana kwamba pesa hatuna
The reason Klopp alijinasibu hana muda wa kugombea trophies zaidi ya ucl na ligi ni kwakua hana kikosi kipana. Sasa muda huu kashaona ligi hana nafasi kubwa kwanini asiweke mazingira ya FA vizuri?Mpira haupo ivyo mkuu, kwaiyo United itaingia dhaifu?
Sunday is a big match, do or die