Mkuu kwa sasa wapinzani wetu wameshatujulia... Namna ya kuzima magoli kwetu ni rahisi as ABCD kwanza kuhakiki space za kupiga klosi kwa TAA na Robbo hazipo na pia kuhakiki kuna lots of bodies in the final 3rd hivyo wanakaa wana relax wanatusubiri..Mkuu sisi na big timu,sio Mechi ngumu mkuu,sisi mechi zetu ngumu na timu za kushuka daraja.
Jota wamualakishe aisee.
Naunga mkono hoja, tushikamane, tuombee team yetu, usajili sio issue,.maombi na kushikamana
Mashabiki mshaanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe? Imagine wachezaji wangekua wanachukuliana kama nyinyi hapa, kwamba kuna maslahi na halisi ingekua aibu.
Earlier kuna memba alisema haamini juu ya maombi katika mpira ila leo anaomba Mungu mshinde. Hamjashinda. Hauoni kwamba maombi siyo dawa katika mpira? I mean pengine timu za Italia zilitakiwa ziwe zinaiongoza dunia kama dawa ni maombi.
Dawa ni kubadili mbinu au kusajili. Tariq Lamptey, Achraf Hakimi, Alphonso Davies, Kieran Tierney, Matty Cash n.k au asajili wakina Draxler spesho for creating chances ambazo siku hizi timu inashindwa kuzicreate.
Hahahaha yani Malafyale kawaweza wote ..haha huyu ndo mwanaume sasa ayumbishwi hovyo ..huyaogopi majogoo??Karibu Liverpool HALISI tushikamane achana na Liverpool MASLAHI.








mkuu tulizungumza sana hapa kwamba front 3 yetu basi wawili wauzwe abaki mmoja, tukasemwa hatuna uelewa!Kama Salah hafai, Bobby hafai, Origi vipi ndiye anayetufaa?
Munasemaje wadau Origi aendelee kupangwa?
tulisema hapa, it was august 30....... tukaambiwa hatujuimmmmhhhhh........ yale yale ya kutoi-disrupt front 3,,,,,........ mid yetu imeshachuja, hendo,millie&gini walitakiwa kuungana na lalana kuondoka!
tusijidanganye tuta-overachieve this season, hatuna tena x-factor ya kutubeba!
Mkuu kwa sasa wapinzani wetu wameshatujulia... Namna ya kuzima magoli kwetu ni rahisi as ABCD kwanza kuhakiki space za kupiga klosi kwa TAA na Robbo hazipo na pia kuhakiki kuna lots of bodies in the final 3rd hivyo wanakaa wana relax wanatusubiri..
Timu zinajua ukiua threat ya TAA na Robbo hatuna jipya kwani muda mwingi magoli yetu hutokea pembeni na sio kati na hili gemu ya 5 sasa EPL limefanikiwa mno na mpaka sasa Klopp anakomaa na 4 3 3 which works best penetrating using the flanks either Right ama Left...
We are walking in a very thin line ndugu..
Hao unaosema sio mechi ngumu wapo wachache hivyo kuwafunga na kutoa sare ama kufungwo na hawa wengine ambao ndio wengi bila shaka hata Big 4 tuisahau...
YNWA
Wewe ungekuwa demu nadhani watu wangefaidi sanaBurnley walifanya yao nini![]()
tulisema,,,,,,, tukatukanwa!........kwanini tulienda dk 120 in the first place?....... mkuu mimi simtetei Adrian yule ni another karius yes, ila ukweli unabaki pale pale ile timu yetu yote ilifail big time!
kule spain wakishindwa hata shuti moja golini, yaani wakitoka SIFURI (zero kabisa)!...... Anfield ndani ya dk 90 za mchezo goli moja tu then tuseme tulikua bora?
over two legs hatukua bora ndio mana tukitolewa, tusijifiche kwa Adrian mkuu wangu!........ kama ni kutafuta upgrade ya Adrian sawa tutafute lkn hilo liwe baada ya ku-upgrade kule mbele na mido.....
tunahitaji wabunifu kwenye mido zaidi ya hendo na gini, tunahitaji striker muuaji akapambanie namba na kina firmino...... failure to do that next season tutakua hapa kumlaumu mbuzi wa kafara mwingine maana our darling lovren kaondoka![]()