King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Katika Matajiri waliowekeza kwenye Soccer FSG ndiyo matajiri pekee wanaoongoza kwa Faida ambao hawaendeshi Timu kwa hasara hata ya asilimia 0.000001%.
Hawanunui mpaka Wauze
Wakiuza £150M ndiyo wananunua wa £50M ili £100M iwe faida.
Kamwe hawanunui kwa zidi ya Walichouza.
Kamwe hawanunui sawa na Walichouza.
Siku zote wananunua chini ya 30% Walichouza.
Hawajawahi kutoa pesa yao Mfukoni kusaidia Timu au usajili bali Timu inajiendesha wenyewe kupitia mapato yake.
Timu inapokwama kwenye usajili au shughuli yoyote ile basi wahuni wanaikosesha na kujilipa baadae.
Kiufupi jamaa wameshaibomoa Timu manake Pesa za kina Brewster, Lovren na Danny Ings ndiyo kanunuliwa JOTA, Sasa sijui huyo CB atanunuliwa kwa pesa za nani! Tusubiri auzwe Origi na Xhaqiri ili anunuliwe.
Na auzwe Salah na Keita ili tujue mshambuliaji na Midfielder.