BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,900
- 11,699
Kimoja cha nguruwe watoto kibaoMbwembwe nyingi lakini bao moja ndo linatia mimba
Kimoja cha nguruwe watoto kibaoMbwembwe nyingi lakini bao moja ndo linatia mimba
Origi ni championship player leo mtaelewa hiyo sentence
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app




Mbele mnakosa maarifa kabisa mkuu... Vijipasi pasi vya kitoto kwenye D na mstatili!
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Hahaha hakuna lisilo mwanzo hukosa mwisho ndugu yangu...Hahahahahahahahah Man man told you Man , Hatuna timu ya ku challenge Title wala Top 4 .
Atakuja fala mmoja humu anaongea mambo ya Liverpool halisi usenge mtupu
Hahaha dont curse that big man lol...Mkuu wewe ni shabiki wa ukweli,the writting was on the wall.
Poleni sana,hii sio inshu ya kufix kwa wachezaji wawili au watatu,mna miaka 30 mingine tena kunyanyua kwapa tena.
Komaeni na FA na carabao kwa sasa.
Klopp hana ideal mpya kabisa,You can't keep playing the same tactics for more than 3 season and be expecting good results .
Klopp anamekuwa na his love for some players mpaka ameshindwa ku create competition kwao.
Msimu jana walikuwa wanaongea kila neno linalokuja kinywani utadhani wana timu ya ajabu sana kuwahi tokea hapa dunia
1. mara wanachukua kombe unbeaten
2.mara wanachukua treble (epl.fa na cl)
3. mara wanachukua na centurion (100pts)
Kumbe timu yenyewe ilikuwa kama puto tu,sasa limepasuka
Simple Mkuu... Edwards go for new addition man..Timu imechoka, binafsi sijui hata nini kifanyike.
Really scary...The future is not looking good.
Simple Mkuu... Edwards go for new addition man..
We go to Real Madrid aim kumpata Elder Militao kwa mkopo..
We go to Real Madrid aim kumpata Viscous Jnr...
We go to Wolverhampton gets Traore bei imeshuka ajabu £35m ana miaka 24 vile so young...
We go to Torino get CB Gleison Bremer..
Na tupate namba wa 9 wa ukweli mwenye supa instincts na movement at the box...
Kingine Jota arejee mapema mwezi ujao na ukali ule ule...
YNWA
Its been coming man Jota got injured kwenye ile gemu without purpose...