Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mashabiki wa Manyumbu hawajawahi kuongoza ligi sasa wako tu juu hapo tayari wanajiona wameshachukua ubingwa,kiuhalisia bado sana.

Maana hapo bado man city kukaa juu hapo,Baada ya hapo mechi zitakuwa zimebaki chache,lakini sio sasa hivi ukae juu hapo useme nachukua ubingwa Safari,hapo hapana kabisa.mashabiki wa Manyumbu ilo hwalijui,muda utawahambia
Sio kwa Liva hii game 3 inapata goli 1

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu msimu huu tukiwa ugenini huakika wa ushindi ni mdogo sana,tukiwa nyumbani tunacheza vizuri sana.ni game na west bro.ndio tulizingua game zote ushindi tulizokuwa nyumbani.
Rekodi inasema hivyo na ndio ukweli ndugu...

Ni ngumu kutoa sare ugenini ama vipigo aafu tushinde za nyumbani na ifike Mei tuwe bingwa haiwezekani ndugu...

YNWA
 
IMG_20210105_014316_940.jpg


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Napo waambia United ni nieleweke huyo Southampton mm nimemfanyia come back ya hatari akafa 3-2 liva kuku katiwa kimoko hoi

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nilishawaambia Man U ni marufuku kumtimua Ole Guna maana timu ya Man U haina chemistry lkn inapata matokeo mazuri/nyota ya ubingwa iko kwa Ole Guna.

Tuombe uzima tukiwa hai mtakuja kuufufua huu ujumbe. Wakati mwingine bahati inamata zaidi ktk maisha kuliko bidii, maarifa, nguvu, mbinu na akili nyingi.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Game 3 una point 2 na goli moja halafu bado unajiita title contender!
Msimu uliopita top 4 wengi walikuwa hoi bin dhoofu ndio maana mkachukua ubingwa kwa style.
Klopp anawakimbiza wachezaji kama farasi wala hakuna ufundi wa kujivunia,siku hizi timu nyingi haziwaogopi ndio maana mnagawana point hadi na westbrowich.
Point ya kulalia usiku huu,first shot on target imepatikana dakika ya 73!
Mjifunze kwa dortmund msiwe wajinga
 
Winter has come.

To remind you, winter period is twice as long as summer.

I doubt whether we will still be on the throne by the time winter is over.

Winter came too early, we were not prepared for it.
 
Game 3 una point 2 na goli moja halafu bado unajiita title contender!
Msimu uliopita top 4 wengi walikuwa hoi bin dhoofu ndio maana mkachukua ubingwa kwa style.
Klopp anawakimbiza wachezaji kama farasi wala hakuna ufundi wa kujivunia,siku hizi timu nyingi haziwaogopi ndio maana mnagawana point hadi na westbrowich.
Point ya kulalia usiku huu,first shot on target imepatikana dakika ya 73!
Mjifunze kwa dortmund msiwe wajinga

Nitatofautiana na mtazamo wako kidogo, msimu uliopita timu zilikuwa sawa sawa na msimu huu, isipokuwa Liverpool alikuwa Bora Sana.

Mpaka game ya 17, Liverpool alikuwa ameshinda 16 na ametoa draw 1, points 49 hizo out of 51. Wanaomfatia walikuwa na points kama hizi tulizoko sasa hivi.

Katika mtazamo mwingine ambao nakuondoa kwenye watu wa mpira, ni kusema eti Klopp hana ufundi wowote isipokuwa anawakimbiza wachezaji. Huu ni mtazamo wa kishabiki au wa mbumbumbu wa mpira.
 
Watu wanasahau kuwa tokea mwaka 2020 uanze points alizokusanya United kwenye EPL ni something else..wanajisahaulisha na huku wao wakiendelea kupoteza points tu..2 points kwenye last 3 epl matches ndo mlichovuna

Mlisema hamfungwi na timu iliyopo top ten..iko wapi sasa hiyo jeuri?

Hata hapo Anfield its just a matter of time mtatoboka soon..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom