Manchester City alipata pointi 98 na Liverpool alipata pointi 97..pamoja na mengi sana yaliyochangia ifahamike Manchester City msimu alishinda mechi zote 13 za kumaliza ligi (i stand to be collected)..
Ubingwa tuliokosa pale tulivyotoa sare na West Ham, Everton, Leicester, Manchester United na tukifungwo na Manchester City mpaka hapo ubingwa ukawa byebye... Na katika hizo gemu hakuna gemu ilishangaza kama gemu ya Manchester United kwani walikua hoi na majeruhi kibao lakini tukapata sare nyumbani kwao...
Hakika hizi sare unazoona sasa kama mzunguko wa pili zitakua hivi hivi hatuna uhakika wa kupata EPL ya 20 tena...
Our hope and wish ni kuona vijana becoming more clinical and lethal when its matters na gemu ya South Coast Jumatatu should be a good start back to winning ways...
YNWA