Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Ishu hapa sio levo mbali tumetoa sare nne kwa hawa jamaa wakiwepo uwanjani wa siku zote...Huyo Takumi bado hajafikia livo ya Boby mbovu labda apangwe kwa lengo lakumtishia nyau Boby
Kama ambavyo Selhurst Park Klopp alimuacha Salah benchi na Takumi akafunga na leo vile vile inawezekana..
Kwenye mpira ni kujaribu kinachoweza kuleta pointi ndugu hakuna uhakia its all about gambling at times na hawa ma amateur uliona gemu ya Barcelona bila Salah pia Klopp gambled na Origi its paid big time hivyo lets try our luck na ku drop mmoja pale mbele sio lazima awe Bobby...
YNWA

