Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwenye kutisha had I tulipo Leo ni City. Game mbili mkononi aki win zote anaenda juu kwa alama mbili kama sikosei hawa pundamlia wanasindikiza tuu.
 
Mashabiki wa Manyumbu hawajawahi kuongoza ligi sasa wako tu juu hapo tayari wanajiona wameshachukua ubingwa,kiuhalisia bado sana.

Maana hapo bado man city kukaa juu hapo,Baada ya hapo mechi zitakuwa zimebaki chache,lakini sio sasa hivi ukae juu hapo useme nachukua ubingwa Safari,hapo hapana kabisa.mashabiki wa Manyumbu ilo hwalijui,muda utawahambia
man city siyo bora kipindi hiki hapo epl(kumfunga chelsea haihalalishi kwamba wao ndo bora, wana makosa kibao)

team zilizo bora kwa kipindi hiki ni liverpool na MAN U tu hapo epl
 
Precisely.
Hatukupata shot on target hata moja first half yote - how can we blame the officials for that?
Kuna kaugonjwa kameingia Klopp atafute tiba fasta kabla ya wanga hawajaanza "kloppout" zao!
Ni aibu kubwa sana..

We are better than this..

Lol senior team leo hakukua na amateur pale they were the seniors..

Aafu utasikia ooh hatununui CB Januari hii lol tumekamatika...

Haya matokeo yatume ujumbe kwa Edwards...

We need Fabby at his position breaking up play and starting attacks..

YNWA
 
Mashabiki wa Manyumbu hawajawahi kuongoza ligi sasa wako tu juu hapo tayari wanajiona wameshachukua ubingwa,kiuhalisia bado sana.

Maana hapo bado man city kukaa juu hapo,Baada ya hapo mechi zitakuwa zimebaki chache,lakini sio sasa hivi ukae juu hapo useme nachukua ubingwa Safari,hapo hapana kabisa.mashabiki wa Manyumbu ilo hwalijui,muda utawahambia
Kama man united hajawahipo kuongoza liegue yale makombe 20 ya ligi ya uengereza ka pata vipi ??
 
Kwenye kutisha had I tulipo Leo ni City. Game mbili mkononi aki win zote anaenda juu kwa alama mbili kama sikosei hawa pundamlia wanasindikiza tuu.
City hana sumu.
Balaa lipo Manchester United.
 
man city siyo bora kipindi hiki hapo epl(kumfunga chelsea haihalalishi kwamba wao ndo bora, wana makosa kibao)

team zilizo bora kwa kipindi hiki ni liverpool na MAN U tu hapo epl
Mm naona man u hana ubora wahivo ila anajikongoja katikati ya wabovu sio mdaa round ya pili watalijua hilii
 
Aliyekuwa anajikongoja nyuma ya wabovu ni liver ya msimu uliopita... Ndio maana gap lilikuwa kubwa... Msimu huu kila timu inajitahidi kutoa upinzan... Ukizembea unakula nyingi

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Anayeongoza ligi n nani na title contenders wanakuwaga wa sifa gani, tulia kk ubingwa tunachance bado usiwe na hofu. Haya raund ya pili haijaanza unawaza LFC forever
Mimi sina ushabiki maandazi kwa sababu ni Liverpool fans basi nitetee tu nijipe matumaini hewa NO.

WE HAVE BIG PROBLEMS.
 
Kuumia kwa VVD, Matip, Gomez hakika kumetupunguza sana mashambulizi yaani leo Saints wanakwenda na sisi jino kwa jino lol shikamoo EPL...

Impressive kwa kweli for the home team...

We are shaky, tense, lacking the basic to search for a win.. We lack momentum,.. We lack the vision, all whats has won us so much has gone through the window..

Now vs Aston Villa will be another defeat unless the team is reshuffled in the front...

Kazi ipo...

Sawa ushaitoa liva kwenye kinyanganyiro cha ubingwa tutabirie bingwa kwa maono yako sasa?
 
Kuumia kwa VVD, Matip, Gomez hakika kumetupunguza sana mashambulizi yaani leo Saints wanakwenda na sisi jino kwa jino lol shikamoo EPL...

Impressive kwa kweli for the home team...

We are shaky, tense, lacking the basic to search for a win.. We lack momentum,.. We lack the vision, all whats has won us so much has gone through the window..

Now vs Aston Villa will be another defeat unless the team is reshuffled in the front...

Kazi ipo...

YNWA
Sio mchezo asee kazi ipo sijui adii link itakuwa hivi.
 
We go back to the basics..

We are on track..

We have to accept tuna matatizo kubwa mno ya kitimu na mchezani mmoja mmoja...

We keep this attitude and we out of BIG 4 not even the race..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom