Unaweza kuita baskeli ya barafu juani.
kama tulivyoongea wakati ule, MAN U anaenda kutwa kombeUnaweza kuita baskeli ya barafu juani.
kama tulivyoongea wakati ule, MAN U anaenda kutwa kombe
Klopp na makocha wake wana kibarua kikubwa kuwarudisha hawa vijana kwenye makali...Sio mchezo asee kazi ipo sijui adii link itakuwa hivi.
ngoja tusubiri huo muda ufike, nitakuwa napita hapa kuwatania tuMkuu, tena me niliwaambia hawa jamaa humu, kua, mpaka kufika mwezi wa pili Liverpool atakua kesha fika kwenye nafasi yake ya tatu, kuna mdau alibisha kinoma.
Kwa hiyo Liva ndo atachukua ligi kwa kushindwa kuwafunga Newcastle?Swala la kuongoza ligi hata Arsenal alivyoongoza ligi na wao walisema watachukua ubingwa,kwa hiyo Manyumbu kuongoza ligi sioni cha ajabu hapo,na yeye atashuka atakuja man city.
Inaonekana umeanza kuangalia mpira hivi karibuni.


nieleweke huyo Southampton mm nimemfanyia come back ya hatari akafa 3-2 liva kuku katiwa kimoko hoi 








We go back to the basics..
We are on track..
We have to accept tuna matatizo kubwa mno ya kitimu na mchezani mmoja mmoja...
We keep this attitude and we out of BIG 4 not even the race..
YNWA
Anadhani Man U ni FulhamMan united siyo limbukeni wa kuongoza ligi