GodsGrace
Member
- Dec 29, 2019
- 41
- 51
Vipi palace ulipata point ngapii ushajisahau?? Point ulizonazo zimekamilika au..Unashindwa kupata point kwa Newcastle una ubora gani sasa
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Vipi palace ulipata point ngapii ushajisahau?? Point ulizonazo zimekamilika au..Unashindwa kupata point kwa Newcastle una ubora gani sasa
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Kuanzia mwanzo wa msimu niliamini liver imefikia peak. Tena anapata matokeo kutokana na woga tu wa timu pinzani, ukimvaa bila woga unajipigia tu.Game 3 una point 2 na goli moja halafu bado unajiita title contender!
Msimu uliopita top 4 wengi walikuwa hoi bin dhoofu ndio maana mkachukua ubingwa kwa style.
Klopp anawakimbiza wachezaji kama farasi wala hakuna ufundi wa kujivunia,siku hizi timu nyingi haziwaogopi ndio maana mnagawana point hadi na westbrowich.
Point ya kulalia usiku huu,first shot on target imepatikana dakika ya 73!
Mjifunze kwa dortmund msiwe wajinga
Mkuu sijajua ulikuwa bize na mechi au vipi niliangaza hapa mida ile sijakuona.... Kabla ya mechi yetu kule anfield tho sijajua matokeo yatakuwaje ila inabidi mambo yabadilike... Sharpness kwenye forward yenu haionekan kabisa... Wachezaji hawana njaa... Full back zenu hazimwagi tena maji ya uhakika... Ssa hivi mnajaribu kupiga penetration passes kitu ambacho si culture yenu tangia klopp aje... Game ya 17th yaweza kuwa ngumu zaidi.Tulikuwa tumeshasahau zile habari za kusingizia upepo, barafu, injuries za adui nk. Sasa tutaanza kuzisikia.
Mkuu sijajua ulikuwa bize na mechi au vipi niliangaza hapa mida ile sijakuona.... Kabla ya mechi yetu kule anfield tho sijajua matokeo yatakuwaje ila inabidi mambo yabadilike... Sharpness kwenye forward yenu haionekan kabisa... Wachezaji hawana njaa... Full back zenu hazimwagi tena maji ya uhakika... Ssa hivi mnajaribu kupiga penetration passes kitu ambacho si culture yenu tangia klopp aje... Game ya 17th yaweza kuwa ngumu zaidi.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Wacha ujinga mwamba!Ingia ww ukajaribu
Ndio nachokiona mkuu... Hakuna ile overturn ya ile 7 0 kwa crystal... Na confidence inapotea kidogo kidogo mfano kipindi cha kwanza hata aerial duals walikuwa wanaziwin sotonHicho kitu tumekuwa tunakiandika game hadi game, ukipitia posts za humu malalamiko hayo ni toka tulivyojua kwamba tumechukua ubingwa wa 2019/2020.
At least Jota alileta uhai kwenye Frontline, ila kocha hakuwa anataka utatu wake wa Salah, Mane na Sadio uguswe.
Wachezaji wanachoka, timu iliyokaa pamoja ikachukua UEFA na EPL ndani ya misimu miwili kikawaida inahitaji kuletwa sura mpya angalau kuwa na watu ambao wana njaa, hawa wameshiba. Wamebaki wanacheza game kwa game.
Yaani ukiangalia mechi zote tulizotoka draw kuna mchango mkubwa sana wa marefa. Leo huyu pimbi kapotezea penalty 2 kabisa. Hata mtaalam wa VAR naye kapotezea, ingekuwa upande wa adui sasa!!Ila hawa marefa naona kama Wana mpango na Liverpool maana naona wanatuminya Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengine bwana, yaani hata round ya kwanza hejaisha tayari ameshajitoa na kwenye ushindani? Bure kabisa hii mishabiki mingine!Anayeongoza ligi n nani na title contenders wanakuwaga wa sifa gani, tulia kk ubingwa tunachance bado usiwe na hofu. Haya raund ya pili haijaanza unawaza LFC forever
Kombe la kiganga labdakama tulivyoongea wakati ule, MAN U anaenda kutwa kombe
Mashabiki wa Manyumbu hawajawahi kuongoza ligi sasa wako tu juu hapo tayari wanajiona wameshachukua ubingwa,kiuhalisia bado sana.
Maana hapo bado man city kukaa juu hapo,Baada ya hapo mechi zitakuwa zimebaki chache,lakini sio sasa hivi ukae juu hapo useme nachukua ubingwa Safari,hapo hapana kabisa.mashabiki wa Manyumbu ilo hwalijui,muda utawahambia
Mkuu, utatu wa salah, mane na sadio haupo. Ama labda sijui kitu.Hicho kitu tumekuwa tunakiandika game hadi game, ukipitia posts za humu malalamiko hayo ni toka tulivyojua kwamba tumechukua ubingwa wa 2019/2020.
At least Jota alileta uhai kwenye Frontline, ila kocha hakuwa anataka utatu wake wa Salah, Mane na Sadio uguswe.
Wachezaji wanachoka, timu iliyokaa pamoja ikachukua UEFA na EPL ndani ya misimu miwili kikawaida inahitaji kuletwa sura mpya angalau kuwa na watu ambao wana njaa, hawa wameshiba. Wamebaki wanacheza game kwa game.
Mkuu, utatu wa salah, mane na sadio haupo. Ama labda sijui kitu.
Ndio nachokiona mkuu... Hakuna ile overturn ya ile 7 0 kwa crystal... Na confidence inapotea kidogo kidogo mfano kipindi cha kwanza hata aerial duals walikuwa wanaziwin soton
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Mkuu hebu tizama vizuri mtu wa pili mmemuacha kwa points 10! Kwanini unasema timu zilikuwa sawa na msimu huu! nyie bora zaidi? Mimi naona msimu huu kila mtu anadrop point ukijisahau tofauti na msimu uliopita.Nitatofautiana na mtazamo wako kidogo, msimu uliopita timu zilikuwa sawa sawa na msimu huu, isipokuwa Liverpool alikuwa Bora Sana.
Mpaka game ya 17, Liverpool alikuwa ameshinda 16 na ametoa draw 1, points 49 hizo out of 51. Wanaomfatia walikuwa na points kama hizi tulizoko sasa hivi.
Katika mtazamo mwingine ambao nakuondoa kwenye watu wa mpira, ni kusema eti Klopp hana ufundi wowote isipokuwa anawakimbiza wachezaji. Huu ni mtazamo wa kishabiki au wa mbumbumbu wa mpira.
Hendo kucheza CB nayo ni flaw kubwa sana... Ngoja tuone mwl atajipangaje.Game ya jana Soton walikuwa wazuri kutuzidi.
Hicho ndicho nachoweza kusema.
Safari bado ni ndefu ila msimu huu sioni matumaini, labda hii loss ilazimishe aletwe beki ili Fabinho arudi kiungo.
Duh sasa kwann asiwe title contender😀Galaxy baadae nisikie panya yoyote humu anaropoka kuwa Liverpool ni tittle contenders ☹️
Henderson ana workrate kubwa kuliko mabeki wote wa liva na wachezaji wote kwa ujumla. Kwa soton amepitwa na jack stephens tu kwa mechi ya jana.Hendo kucheza CB nayo ni flaw kubwa sana... Ngoja tuone mwl atajipangaje.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app