Mkuu hebu tizama vizuri mtu wa pili mmemuacha kwa points 10! Kwanini unasema timu zilikuwa sawa na msimu huu! nyie bora zaidi? Mimi naona msimu huu kila mtu anadrop point ukijisahau tofauti na msimu uliopita. View attachment 1668257
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Hendo kucheza CB nayo ni flaw kubwa sana... Ngoja tuone mwl atajipangaje.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app







Jamaa wewe mchawi sanaMpaka mwezi wa pili mutakua mushafika kwenye nafasi yenu ya tatu.
Kesho muna pasuka kwa Soton na kutupisha nafasi ya kwanza.
Nipe matokeo mkuu nililewa sana jana.Kesho tuna wapasua na ikifika tarehe yenu tunawavunja vunja tupa kule get it.
Soton unamuweza?Mkuu Don Clericuzio ukweli ni kwamba Manchester City na Manchester United ndio competitor wetu aisee hawa Chelsea na wengine nafasi zao zitaanza kuonekana soon..
YNWA
Mkuu bado huwezi kuona impact yake going forwardHenderson ana workrate kubwa kuliko mabeki wote wa liva na wachezaji wote kwa ujumla. Kwa soton amepitwa na jack stephens tu kwa mechi ya jana.
Kuandika. Tu hujui.Ndio maana me nawashangaeni munao muomuogopa Man city.
City ana viporo vigumu vitupu.
Apo kwa Evaton hakatizi, mungu mmoja.
Mmeshinda bao ngapi?Leo Afe Punda livunjike Toroli lakini Mzigo ufike, Lazima Tushinde vinginevyo ni kilio
Umeonge point tupu mkuuWatu wanaichukulia poa Sana Liverpool
Team yetu ni hatari Sana
Inaweza kukupa matokeo ya kipumbavu au matokeo ya hatari inategemea na moodhapo ndo ujinga unakuja
Ngoja Jota apone wataelewa
Ili liva mid yao iwe na jukumu la kushambulia inabidi wijnaldum asogezwe mbele nje ya huyo hakuna kiungo mwenye trait hiyoMkuu bado huwezi kuona impact yake going forward
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app



Kama yule wa namungo. Steven seyi.Danny INGS napunga mkono
Nathanael Ake yuko wapi?Kesho tunaenda kumfundisha mpira Man Utd, tunamtoboa pale OT
Karibun sana
Citizen chairman
Nakubali.. Liverpool ya last season was fire ila wa chini yake labda tumuondoe vardy na timu yake walikuwa hovyo... As angalia msimu huu margin ndogo sana kuanzia nafasi ya 6 kupanda juu... Kingine wengine wengi wanasahau issue ya kukosa pre-season msimu imezicost hizi timu dearly na concentration ya kumalizia msimu after lockdown was so bloody breathtaking... Mpaka ssa naweza kusema baada ya game mbili zijazo za utd ndio kitu title race chaweza kuwa valid.Nimekupata, labda niulize swali, unadhani Liverpool hii vs Liverpool ya msimu uliopita zina ubora sawa?
Ukiacha Leicester, wengine wote point walizonazo ni almost sawa na waliyokuwa nazo kipindi hicho. Kwa hiyo last year into first 17 games, Leicester na Liverpool ndo wahanga zaidi, Chelsea na Man Utd wako a bit betteroff ukilinganisha na mwaka jana.
Hili najiuliza how mwl halioni? Depth ya timu imeshuka but bado no additions.. Utd yenyewe ina flaw kwenye CB na miscellaneous kama RW na proper striker but kwenu nyie mlikuwa muwe na mbadala wa VVD na TAA muda mrefu na pale kati still huyu Muispanyola si mtu sahihi sana.Hendo kokote anakopangwa binafsi naona sawa tu, huwa sioni impact yake uwanjani.
Nikiuliza washabiki wenzangu wananiambia kazi yake haiwezi kuonekana kwa macho ya kawaida, imebidi nikubali nisije kuonekana nina macho mabaya.
Problem yangu ni kutofanya additions, enzi za Fergie ilikuwa kikosi kikionekana kinaanza kuridhika analeta mtu mpya kuchangamsha. Sisi tumeamua kutulia.