Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Msimu ukiisha tumuache Salah aondoke zake tutafute mbadala wake, Anold abadilishwe namba na kurudishwa namba yake ya awali midfielder, Firmino vivyo hivyo False 9 haimfai tena arudishwe namba 10 yake na asajiliwe namba 9 mwingine wa kusaidiana na Jota..
 
Kwahiyo munajifananisha na Bayan, sio?
Hilo moja mpaka mpira unaisha.
Ox ni mzigo leo hamna mchango wowote kutoka kwake.. Binafsi ningependa kumuona Takumi..

No singo shoti on target sio ishara nzuri sana kwetu...

Shaqir pia anaweza akafanya jambo..

Klopp utamuona akisubiri dakika ya 75 ndio afanye sub huku akiingia Milner...

Hii gemu bado ipo open any team can win... Klopp amtoe mapema Ox asisubiri mpaka dakika zimekwenda...

Jana Bayern walilala 2 bila mpaka half time walivyorudi kipindi cha pili wakaamsha dude na mpaka mpira unaisha wakashinda 5 2...

We are so lazy..

Poor from the Champions elect..

YNWA
 
Front leo imekosa ubunifu kabisa! Halafu sijui leo kwa nini tunacheza ma mipira ya juu, yaani tunaangua nazi!
 
Utoto tu huo, ukikua utaacha.
Mimi kama shabiki wa Arsenal, naona ni bora mara 100 Liverpool aongoze ligi mpaka mwisho kuliko akiongoza Man Nyumbu.

Natarajia comeback ya maana 2nd half maana naona mijamaa ya manjesta imejazana kushabikia So’ton..
 
Nimeshindwa kuwaelewa, kwanini hawapigi makombora golini hawa nao?
 
Nawapa dakika 10 kama hawatafunga bora nikalale mimi pumbavu zao kabisa hawa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom