Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Swala la kuongoza ligi hata Arsenal alivyoongoza ligi na wao walisema watachukua ubingwa,kwa hiyo Manyumbu kuongoza ligi sioni cha ajabu hapo,na yeye atashuka atakuja man city.

Inaonekana umeanza kuangalia mpira hivi karibuni.
Man united siyo limbukeni wa kuongoza ligi
 
Rudderless. Awful. Woeful.

It's only Mane who was trying to make something happen.

Anyways, let's dust ourselves up and go again. The league is not even halfway. I haven't lost hope. Yet.
My pessimistic side saw this coming man but thought aaa here it's one of favourites hunting ground haha kumbe the home boys had some steel...

We were outplayed in the most important moments...

Decision making for our front boys is waning at a very super sonic speed man this will hurt us in the long term...

Just a single proper shot on target haha..

YNWA
 
kwa points jinsi zilivyopishana chache, bado ligi ni mbichi epl

Mashabiki wa Manyumbu hawajawahi kuongoza ligi sasa wako tu juu hapo tayari wanajiona wameshachukua ubingwa,kiuhalisia bado sana.

Maana hapo bado man city kukaa juu hapo,Baada ya hapo mechi zitakuwa zimebaki chache,lakini sio sasa hivi ukae juu hapo useme nachukua ubingwa Safari,hapo hapana kabisa.mashabiki wa Manyumbu ilo hwalijui,muda utawahambia
 
Precisely.
Hatukupata shot on target hata moja first half yote - how can we blame the officials for that?
Kuna kaugonjwa kameingia Klopp atafute tiba fasta kabla ya wanga hawajaanza "kloppout" zao!
Hakuna wa kumlaumu. Sisi ndio tatizo
 
Kama kuna mtu bado anaamini tupo kwenye Title Race ajitafakali sana.
Anayeongoza ligi n nani na title contenders wanakuwaga wa sifa gani, tulia kk ubingwa tunachance bado usiwe na hofu. Haya raund ya pili haijaanza unawaza LFC forever
 
Hizi dharau ndio huwa zinawaponza... Away game zote msimu huu mmeshinda 2 tu utd hajapoteza hata moja!

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Dharau kuwa tuwaweke benchi kina Mane? Hawa wameflop afadhali ufungwe ukiwa na kikosi cha pili kuliko kupigwa na best players wako wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom