









mnadhani uefa mnaweza chukua kizembe eeeh 



Mbwa ni mamaako alieinamishwa kwenye mbio za mwenge ukapatikana, mwana ulielaaniwa....Mnajikuta wanaume
Mara oooh mnataka uefa, hivi mnaijua vuzur ueaf mbwa nyiemnadhani uefa mnaweza chukua kizembe eeeh
Epl yenyewe hamuwezi, timu kama everton, lecister, mnazipotezea ña kufocus ña city
Liverpool msipochukua fa najua carabao out, hamna kingine
Mtatoka mikono mitupu msimu huu![]()
Tulia nikupachike ukuni vizur,Mbwa ni mamaako alieinamishwa kwenye mbio za mwenge ukapatikana, mwana ulielaaniwa....
Baada ya mapumziko ya hizi wiki mbili gemu za kimataifa tunakutana na Everton nadhani kwao..hawa everton wamekua moto kweli, nadhani hakuna mechi tumekutana nao wakiwa moto hivi hasa miaka ya karibuni........
umekosea kumjibu, hizo ni stress sio akili yake!Tulia nikupachike ukuni vizur,
Everton wameanza ligi kwa kishindo aisee.Baada ya mapumziko ya hizi wiki mbili gemu za kimataifa tunakutana na Everton nadhani kwao..
Itakua mechi kali sana..
Klopp kwanza kashaanza kuona hatari maana Allison, Fabby na Firmino wameitwa timu ya Taifa na wana mechi nadhani siku 2 au 3 kabla ya mechi ya Everton naona hapo wakitumiwa ndege ya kukodi ili kurejea Anfield lol hapo sasa uchovu kama wote....
Hapa ni wote watakaochaguliwa hizo mechi warejee wakiwa wazima bila majeruhi..
YNWA
hawa watoto (Leeds) ni wazuri kwa kweli.... wanacheza kwa swaga kama zote yaani!Leeds kasawazisha.
Wishing for a draw.
hawa watoto (Leeds) ni wazuri kwa kweli.... wanacheza kwa swaga kama zote yaani!
For sureCity akidrop hizi points itatupa momentum nzuri sana, though ni mapema sana lakini ni muhimu.
kisha drop tayari. good for us!City akidrop hizi points itatupa momentum nzuri sana, though ni mapema sana lakini ni muhimu.
Kwenye Game yetu ya kwanza Niliwadharau Leeds United nikiwaona Amateur wa EPL.
Nikahisi Games zetu ngumu zitakuwa only ni v/s Chelsea and Arsenal, kumbe haikuwa hivyo. Leeds tayari anashinda mchezo wake wa pili mfululizo tena leo alikuwa Away.
Hivyo inanipasa kusema kuwa kumbe Fixtures yetu ya September ilikuwa ni Ngumu kwa mechi zetu zote 3 kiliko Fixture ya Timu yoyote ile ya EPL.
Babu Carlo has been well supported in the market with very gifted acquisition so far and they haven't finished business yet...Everton wameanza ligi kwa kishindo aisee.
but playing us is a totally different proposition compared to what they have so far faced this season.
in attacking sense, their major (probably the only) downside is that their current talisman Dominic Calvert-Lewin is dangerous only when playing in and around the opposition's box. our high line defending could lender him less effective for that matter. am not a good fan of our high line defending but vs opponents like the Toffees it could be our strongest weapon.
kisha drop tayari. good for us!
EPL kwa sasa hakuna gemu nyepesi yaani ni kukomaa kila gemu tupate pointi 3 na tuzidi kujimaarisha ili mpaka tunafike ile miezi yetu ya February nk tuwe tumeshakaa kileleni na utofauti wa 20+ pointi yaani hapo tunakua salama ndugu..Leo Leeds walivyorudisha goli nimeikumbuka hii post.
Kesho tukishinda tutakuwa tumetangulia kwa 5 points.
Madam uko vizuri sana. Nitakutafuta tuangalie mechi pamojaEti jogoo amefanywa kitoweo, kachinjwa kapikwa mchemsho safiii kabisa. Alisikia shabiki wa asernane akisema
Anyway ndiyo mpira ulivyo, ni either u'win, draw or loss. Mashabiki wa Liverpool tulale kwa amani, EPL bado ipo....
Wachovu kupitilizaSisi sio wachovu bhana ,