Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Kaza kalio hiloHuyu Gomez sikuhizi bora hata Onyango
Kaza kalio hiloHuyu Gomez sikuhizi bora hata Onyango
Aibu sanaMamamae hadi Aston villa??
Huu msimu huu, mambo ni vice versa...
Nimalizie bia yangu nikalale [emoji144]
Huu ni kama mshumaa wa Jumuiya, utapita nyumba baada ya nyumba[emoji28][emoji28]
Ahaaa ahaaa watu wanajipigia hat trick tu.Hawajali cha bingwa wala nani.Mamamae hadi Aston villa??
Hahahaha nimecheka sana, eti mshumaa wa Jumuiya....watu mna matusi jamani..Huu ni kama mshumaa wa Jumuiya, utapita nyumba baada ya nyumba[emoji28][emoji28]
Hakuna mechi ya ligi aliyocheza tukawa na amani! Bure kabisa hili jitu!Huyu aondoke zake f*** player