Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna jamaa wa Aseno nilikuwa nae jana tunakula popcorn huku tunahesabu goli zetu 7 🀣

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilivyoona popcorn haziishi nikaagiza wain. Aisee ilikuwa raha sana[emoji23][emoji23]
 
Hili tatizo la kufungwa bao nyingi lilionekana tangu msimu uliopita. Kabla ligi ijaanza nikatoa tahadhari.
Kwanza japo mulishinda dhid ya Chelsea lakini ubao ulisomeka
5-3 huh no udhaifu wa kwanza.
Kabla ya hapo Watford alikukalisha 3-1
Msimu umeanza Leeds akamkalisha allison bao 3 japo mulishinda 4.
Series imeendelea hadi sasa zimefika bao 7 per match ..hii ni dalili mbaya kwa club kama liverpool yenye mabeki waliobeba sifa za kutosha msimu uliopita na ni dalili njema kwetu sisi maana sasa tutakuwa na uhakika wa kujipigia bao kwanzia tano kuendelea. Bado tuna Everton, Wolves, 😎😎
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…