Mkuu tumechapwa na kuchapika
Mpira una matokeo matatu..
Ushindi
Kufungwo
Saree
Tulifungwo msimu uliopita na haikuzuia kulitwaa kombe hivyo hatujasema tunamaliza ligi bila kufungwo mbali ni kupambana tu...
Hivyo hakuna jipya ndugu kila timu ipambane na hali yake..
Ubingwa unarejea Anfield japo ngumu kumeza kwa wapinzani lakini ndio furaha yangu..
YNWA
Haya nimekusikia, kaa na ndugu zako muifanyie analysis kwa kiingereza timu lenu kama kawaida yenu. Mmetepeta kweli kweli leo.Nadhani mnaelewa sasaSafari hii sahau msimu wa aina hiyo, hakuna ulozi sasa hivi. Mtapigika nyie mpaka mtashangaa.



AstonVilla 7-7 LiverPool
salah
zuchu 93'
amber Rutty 99'
Nabii Titto 102'
Mama Anna Makinda 107'
Tundu Lissu 117'
Paulo Bashite 120'
#comeback ya kibabe



Hii balaa tena nyingine.
View attachment 1590469
Ukiskia Jogoo kafa kwa utitiri ndio huku.
Nacheka lakini naogopaa!!





Ni wa kuchapa viboko wachezaji leo.ila acha klopp nae ajifunze na kipa wake hasaidii timu hata cku moja3 games with Alison , three wins with Alusson.
1 game with Adrian, tumebugizwa migoli 7
Wamepiga Comeback ya kibabeAstonVilla 7-8 LiverPool
salah
zuchu 93'
amber Rutty 99'
Nabii Titto 102'
Mama Anna Makinda 107'
Tundu Lissu 117'
Paulo Bashite 120'
#comeback ya kibabe
Shame....
Tujiandae kwa kelele.....
Hii kipigo sikuwahi kufikiri mwamba kwa liverpool hii ingeweza kuwa mdebwedo kwa kiwango hiki.
Heddo angecheza tusingepigwa goals zote hizo. Jamaa anajua ku control tempo ya game. Ikiwa ya moto anaipooza. So pengo lake naliona wazi kabisa.
Tumemkosa Mane farward line ikapoteA makali. Nilale tu maana kelele Itakuwa nyingi kwa week nzima.
Poleni kops wooote. Msisahau kumpa mh Lissu kura hapo 28/10
Wakuu kwema humu ndani?3 games with Alison , three wins with Alusson.
1 game with Adrian, tumebugizwa migoli 7