Kwa Arsenal wenzangu.
Game ya Ligi ile nikasema Liva kuifunga ni kuubeba ugomvi na kuupeleka mlangoni kwao. Leeds did that na wakasecure three goals.
Nikasema pia kua ingawa liva wanakaba kwa gegenpress namna ya kuipiku hii defense ni kwa kucheza tiki taka, counter au through balls. Tulipiga through balls Lacazette akazingua.
Aston wamepiga counter wameshinda goli 7. Natumaini Arteta anachukua notisi hapa, hauhitaji skills nyingi kuipiga gegenpress, just pass, speed na shooting basi!
Nawaonea wivu Aston Villa.