Asante
Asante
aiseeeehkuna mdau humu MosDef alisema kama hujawahi kushikishwa kuta za anfield huwezi kuwa shabiki liverpool, yaani jana ndio nilielewa ile kauli yake,
jana mmeshikishwa kuta za anfield na Muddy Simeone mkigugumia kwa uchungu
Sent using Jamii Forums mobile app
comebackUNASEMAJE..?
dahLeo utakuwa mpole kweli yani vipigo kote kote
Huku Ndala anatafunwa na Mnyama
Kule Manchester is blue
Upo sahihi ndugu King pale mbele ipo shinda kubwa kwa sasa kwa wote watatu.. Ni kweli wanafunga sana tu ila sasa consistency haipo kabisa na sitarajii kwamba watakua bora zaidi ya hivi mbali natarajia Klopp aingie sokoni alete suluhisho aidha amlete Werner ama atuletee proper namba 9 hii false 9 ya Bobby is damn tired and losing touch to score, I mean bila kuangalia ubora wa Obalak jana hii game ilikua yetu ndani ya dakika 90 tumeimaliza endapo kungekua na real poacher pale mbele...Kuna concerns huwa nazigusia sana hapa ambazo ukurudia posts zangu za game baada ya Watford utaziona nyingi tu.
Lakini huwa hazieleweki na zinaonekana zinaleta utata kwasababu ninawagusa 'untouchable' wa Liverpool.
Moja ya msimamo wangu Mkubwa ni kwamba Front 3 yetu imekuwa ya kawaida tofauti na last 3 seasons, Sio ile ambayo ilikuwa inatisha Barani Ulaya bila ya kujali kwenye Midfield kuna nani!
Na nikasema kwasasa Front 3 yetu ni Nzuri sana lakini ni Overrated.
Na ninapoongelea usajili wa Wachezaji bora basi zinatiririka posts za kuwa Liverpool haipaswi kusajili Wachezaji bora coz hawatataka kuwa backups za Front 3.
Na hapa tunatolewa mifano ya Wachezaji wa kusajili ambao wana uhakika wakija Liverpool watakuwa Benchwarmers kama vile Adams, Cantwell na Madisson.
Lakini ukitaja mchezaji Calibre ya Werner utaambiwa hauwezi mfumo wa Klopp.
Nikajiuliza kwani kwani mchezaji yeyote bora atakayesajiliwa Liverpool hatoweza kuanza ahead of Front 3 yetu? Are they unique kiasi ya kwamba no one is better than them?
Nikapata Suluhisho:
Watu hawataki tusajili Wachezaji bora kwasababu hawatakubali kukaa bench, Bali Watu hawataki tusajili Wachezaji bora ambao Watatishia namba za kina Mane, Salah na Firmino.
Hahahahahaha kila ukiporomoka unajiingiza katika top.....mwaka ule wa kushinda mtaa wa 7 mlianzisha top 7 leo top 5 hahahahahahaha
Nyumbu ni NYUMBU's tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tushukuru hata kwa kidogo tunachopata...
Kuna club hata uefa ya mwakan hawataiona wakati huo sisi tuna uhakika na epl tunachukua why tuanze kualalmika kama wengine hawahitaji hayo makombe..
Tukishinda kila game yatakuwa sio mashindano, na hatuwez kuwa bora kila sehemu, adrian kazngua ndio lkn ili ufungwe lazma ufanye makosa,
Tumekuwa wazuri siku za hv karibuni tunasahau tulikotoka.. em tuacheni kujipa maumivu yasio ya lazma,
Nikiangalia hali ya man u, na club kama arsenal, mimi liverpool nikilaum nitakuwa nakufuru..
Mashabiki wengne lazm wa ongee haijalishi tuko vzur zaidi yao ama vp... na huu ndio mpira
TWENDENI TUKACHUKUE EPL WANANGU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bila shaka Klopp na Edwards hili wameliona haikumbaliki kupiga shot zote zile aafu tuishie kutolewa tena Anfield fortress ni noma mno....na hili ndio tatizo la msingi ambalo watu hawataki kuliongelea! tatizo la msingi la liver ni ushambuliaji kwa siku za karibuni!
haiwezekani mshindwe kushinda ndani ya dk 90, then uje uanze kumlaumu kipa wakati hawajaruhusu goli (ndani ya dk 90)!.......
anyway, atletico kwetu wamekua wagumu sana, hata msimu wa mwisho wa RB tulitolewa nusu fainali ya europa na hawahawa kwa mtindo wa 1-0 away, kisha home tukashinda 1-0.... extra time forlan akawapa away goal!
Salah wa mwaka juzi angewapiga Atletico hata bao 3 peke yake...Mkuu bila shaka Klopp na Edwards hili wameliona haikumbaliki kupiga shot zote zile aafu tuishie kutolewa tena Anfield fortress ni noma mno....
Tunawa appreciate sana wachezaji wetu kwa juhudi zao msimu huu na wakati wote ule na pia tukumbaliane hawa pia ni binadamu hivyo watachoka, kiwango hushuka nk sasa ni wakati mwafaka kuongeza damu changa kikosini kuja kuwa challenge na kutufanya bora kabisa...
Adrian alichemka ndio lakini kule mbele walipewa service ya kutosha mno klosi, kona nk zilikua za uhakika sana...
Our front 3 costed us this tie...
YNWA
Umuhimu WA Allison Becker umeonekana ..mimi kwa upande wangu namuona Adrian ndio tatizo licha ya liver kukosa magoli mengi ....balaa alilianzisha yeye kutoa boko na kusababisha goli muda ambao hata wapinzani walikua tayari wameshakubali kushindwa..baada ya kupata lile goli A.M walipata morale, walipata matumaini..huku wachezaji wa liver wakikata tamaa ya kushinda..mimi nina imani kama Alison.B angekuwepo liver angeshinda ile game.
Tena twice acrobatic duh ila hawa jamaa(Salah na Mane) wanajiamini mno na siwashangai maana wanajua tuna benchi dhaifu hakuna wa kuwa weka benchi ila naamini pale banchi kungekua kumesheheni wachezaji wa kueleweka nje hawa jamaa wangekua more clinical zaidi ya hivi...Salah wa mwaka juzi angewapiga Atletico hata bao 3 peke yake...
Mane alikuwa anajaribu acrobatic kwenye game kubwa kama hii?
Madrid kashatoka tu nae ni fala kama LiverpoolHivi real madrid ametoka tayari?
Hivi kuna timu inayoweza kufikia record ya madrid ya UEFA ndani ya hii miaka mia?
Mane sahivi kutuliza shida.Upo sahihi ndugu King pale mbele ipo shinda kubwa kwa sasa kwa wote watatu.. Ni kweli wanafunga sana tu ila sasa consistency haipo kabisa na sitarajii kwamba watakua bora zaidi ya hivi mbali natarajia Klopp aingie sokoni alete suluhisho aidha amlete Werner ama atuletee proper namba 9 hii false 9 ya Bobby is damn tired and losing touch to score, I mean bila kuangalia ubora wa Obalak jana hii game ilikua yetu ndani ya dakika 90 tumeimaliza endapo kungekua na real poacher pale mbele...
Haijalishi kama tutabaki na hawa front 3 wetu msimu ujao lazima Klopp alete mfungaji mmoja na AM mmoja real baller wa kupiga penetrative passes kufungua hizi coal parked trains kama jana.. Lol i miss Fekir magical touch hatuna such a wizard in our team and its has costed us lack of goals...
When it's comes to real delivery hakuna untouchables jana Salah and Co who we praise and sing thier names failed us when we needed them most... Its could have been better if Klopp emulated his masterpiece selection vs Catalans perhaps results would have been different...just perhaps.......
Sometimes losing can be a good thing if viewed in the right perception... We lost vs Real and we brought in game charger and winner Allison... So now that we have lost to Alet hope Klopp will find us 3 players we miss very much this season and push us to the next to the next level...
Salute Ox and Gini they gave thier all..
YNWA
Labda sara banks mcheza picha za utupu analiwa tigoSalah wa mwaka juzi angewapiga Atletico hata bao 3 peke yake...
Mane alikuwa anajaribu acrobatic kwenye game kubwa kama hii?

