The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
I think Keita akiwa fit shall start in our game against ATM

Mechi ya city vs arsenal tayari cancelledMichezo Italy imesimamishwa kwa weeks 3 na itaendelea mwezi ujao!
EPL haisimami
Sent from my iPhone using JamiiForums
Punguza ramliLiva leo anatoka kwa bao la ugenini.
YNWAMapema mchezo unaisha
YNWA
Ndicho nionacho Werner si talet bali anautendea haki mfumoHawa Leipzig wabaya Sana..kama Ajax mwaka Jana..
Werner naona kuna watu wanamfunika pia ..
Hii timu ina wachezaji wengi wa kusajiliwa timu kubwa
Hawa Leipzig wabaya Sana..kama Ajax mwaka Jana..