kenge wewe mmeshabakwa huko,Kipa katugharimu sana,dah Mapaka yatajaa humu leo
Kesho humu kitapigwa kikristu tu
VP baba ako jee yy kushamuwekea vumba la samakiKipa katugharimu sana,dah Mapaka yatajaa humu leo
mzee baba hapa nimejiandaa na dikishenari yangu, wakitema nafukiaKesho humu kitapigwa kikristu tu
Wewe umezaliwa kwenye mbio za mwenge? Mbona lugha ya wakeshao kwenye mwenge!!?FA mmegongwa na Chelsea ... OUT
UEFA mmegongwa na Atletico... OUT
EPL mnabakwa na CORONAVIRUS...
LABDA MBEBE KIKOMBE CHA BABU AMBILIKILE MWASAPILE KIMA NYIE
Sent using Jamii Forums mobile app
UNASEMAJE..?Jana nlikuwa simuoni ndugu yangu Bobby Filminho mpaka nikaamua nijiridhishe ktk livescore kumbe alikuwepo.....
Wale wahuni hawafai katika kulinda,ila naamini hapo anfield watakufa si chini ya goli 3,
Klopp anajua kuzicheza hizi game.
NB:El Chollo katufumbua macho
Sent using Jamii Forums mobile app
LiverPUNGA
Wewe umezaliwa kwenye mbio za mwenge? Mbona lugha ya wakeshao kwenye mwenge!!?FA mmegongwa na Chelsea ... OUT
UEFA mmegongwa na Atletico... OUT
EPL mnabakwa na CORONAVIRUS...
LABDA MBEBE KIKOMBE CHA BABU AMBILIKILE MWASAPILE KIMA NYIE
Sent using Jamii Forums mobile app
🙄🙄Atletico pamoja na kua kwao walipotea vile wakija Anfield watakula 5