Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hivi nyinyi watu kwanini mna roho mbaya na ya uonevu kiasi hicho???
kwanini mnapenda kuwaangushia watu jumba bovu ilimradi kulinda muwapendao?
magoli yote matatu ni uzembe wa mabeki wakiongozwa na untouchable VVD jamaa limeflop limebakia nywele tu, yaani afadhali ya Said Juma Makapu...
magoli yote mfungaji anapiga katika msitu wa mabeki, mabeki watatu wanageuzwa kama bigmachapati anavyogeuza chapati zake.
poor you loser

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka game ya Watford vandjik kawa kama Shaibu ninja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Value for Money!

Timu inayohitaji kuwa contender kwenye makombe mengi haitakiwi kwenda kuokota wachezaji walioachwa na timu kama Westham. Imagine, Westham wamemtema, akakaa zake home hana timu nyingine, sisi tukaenda kumchukua ili kumfanya awe kipa namba 2, unategemea akupe nini?

Nani wa kumlaumu?
Bora kuja kumchukua kabisa Juma kaseja au metacha mnata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushukuru hata kwa kidogo tunachopata...

Kuna club hata uefa ya mwakan hawataiona wakati huo sisi tuna uhakika na epl tunachukua why tuanze kualalmika kama wengine hawahitaji hayo makombe..

Tukishinda kila game yatakuwa sio mashindano, na hatuwez kuwa bora kila sehemu, adrian kazngua ndio lkn ili ufungwe lazma ufanye makosa,

Tumekuwa wazuri siku za hv karibuni tunasahau tulikotoka.. em tuacheni kujipa maumivu yasio ya lazma,

Nikiangalia hali ya man u, na club kama arsenal, mimi liverpool nikilaum nitakuwa nakufuru..

Mashabiki wengne lazm wa ongee haijalishi tuko vzur zaidi yao ama vp... na huu ndio mpira

TWENDENI TUKACHUKUE EPL WANANGU

Sent using Jamii Forums mobile app
nako hampati kombe vinabeba vidudu vya corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damn you King Ngwaba Hahaha Adrian Karius Hahahahaha.....

Poor him that was his best man boy stud got stuck in the mud haha thought its rained everywhere ama upande wetu tu ndio ulikua na mvua...

Cheap vs most valuable keeper in the world the result speak volumes...

Our front three are somehow losing the scoring instincts... 35 shots on target and only two goals,... Alet had 6 shots on target and 3 goals... When we point to Adrian failure to the 1st goal let's also see the big picture its a high time Klopp brought in a real number 9 guys this game has laid the way forward in June transfers..

Now we go again hope he won't be vulnerable as jana vs Anceloti come Monday...

Congrats to the boys it's been thriving two seasons of UCL we say thanks in real.. Losing ain't the of the world.. We have been here and will come back again stronger..

YNWA
Ongea tu Kiswahili acha ubeberu.

Hii game haikutakiwa kwenda xtra time. We should hv won 5 nil. Tunakosa nafasi nyingi mno.
YNWA....WE GO AGAIN NEXT YEAR. LETS TAKE EPL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchawi sio bongo tu
IMG-20200312-WA0003.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii game haikutakiwa kwenda xtra time. We should hv won 5 nil. Tunakosa nafasi nyingi mno.
YNWA....WE GO AGAIN NEXT YEAR. LETS TAKE EPL

Sent using Jamii Forums mobile app
kwaio technically kosa sio la Adrian.....? ndio maana nawashangaa sana watu wanaomuona adrian ndio tatizo!

tatizo letu currently ni timu nzima, sio mabeki wala sio front 3
 
Hii game haikutakiwa kwenda xtra time. We should hv won 5 nil. Tunakosa nafasi nyingi mno.
YNWA....WE GO AGAIN NEXT YEAR. LETS TAKE EPL

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa ndugu 35 shots on target na kupata goli mbili ni tatizo aisee....

Anyway let's wrap and get the most sort trophy by the Reds for the past few decades...

Angalau we won't finish empty this season..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom