choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,571
Umeongea ukweli mtupu, hao wanaosema wachezaji wakisajiliwa Liverpool hawataweza mfumo wa Klopp ni wageni kwa huyo kocha, wakumbuke kuwa alipokuwa Borusia Dotmund mbele alikuwa na Lewandowski kushoto Aubameyang upande wa kulia Mario Gotze, Kuna baadhi ya mashabiki wametoka vijijini ndanindani na walipofika mjini wakaanza kujifanya wanajua kuliko waliowakuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo Aubemeyang hajacheza na Lewandowk Dotmund. Km si mfuatiliaji wa haya mambo acha kujimwambafy.
Sent from my iPhone using JamiiForums
