Henderson hiyo mechi hatakiwu kuanza ila awepo Tu kwenye benchi kuna Hali flani(mzuka) itaongezeka Kwa wenzake wataoanza hasa kutokana na hii ya kuonekana bila yeye tumefanya vibaya...mfano kuna mechi Uruguay ilicheza na ...,(sikumbuki) Suarez hakuwa fit ila akawepo Tu nje anapasha misuli mpaka mechi ikaisha ila iliyofuata alianza Vs England na akatupia mbili..Kwa tuliocheza kidogo chandimu tunaelewa ile Hali ya mchezaji flani tegemeo akiwepo siku hiyo baada ya kutukuwepo kitaa mda mrefu inavyokuwa...
USHAURI HATA HENDERSON AKIWA FIT SIKU HIYO ASIANZE KWANZA PRESHA ITAKUWA KUBWA SANA NA ATABORONGA AINGIE SUB..
Sent using
Jamii Forums mobile app