Happycuit
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 646
- 542
aiseeehLivakuku aka wazee wa ngeli.. Kingereza huku unagongwa ni matumizi mabaya ya rasrimali
Sent using Jamii Forums mobile app
aiseeehLivakuku aka wazee wa ngeli.. Kingereza huku unagongwa ni matumizi mabaya ya rasrimali





Hahaaa eti Liverpool halisi vs Liverpool maslahiLiverpool HALISI hamna haja ya kutukana team,waacheni Liverpool MASLAHI waendelee kutukana team!
Tulikuwa na msimu mzuri sana na tumechukua EPL.
Sasa tuanze maandalizi ya sherehe yetu inafanyikia wapi na lini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Of course sina shida na Adrian kwa game ya Jana coz nilikwisha uona uwezo wake since mwanzo wa msimu that's why ninakosoa kiujumla na sio only one game.
But hiyo paragraph yako ya mwisho![]()
![]()
hivi nyinyi watu kwanini mna roho mbaya na ya uonevu kiasi hicho???
kwanini mnapenda kuwaangushia watu jumba bovu ilimradi kulinda muwapendao?
magoli yote matatu ni uzembe wa mabeki wakiongozwa na untouchable VVD jamaa limeflop limebakia nywele tu, yaani afadhali ya Said Juma Makapu...
magoli yote mfungaji anapiga katika msitu wa mabeki, mabeki watatu wanageuzwa kama bigmachapati anavyogeuza chapati zake.
poor you loser
Sent using Jamii Forums mobile app




Liverpool tatizo lenu mlikuwa mnadharau sana sana klopp na kauli zake chafu na michezaji yenu OHH karibuni Anfield eti Atletico wanashangilia kama mechi imeisha Simeone kidume kawapiga home and away
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya wa Diego El Chollo huwa anapiga pale palipoozaView attachment 1385180
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni alicho-offer huyu mnamuona wa maana sababu Mara nyingi alivyoidakia Liverpool amepata shield kubwa kutoka kwa mabeki, hata hii gemu ya ATM dakika 90' alilindwa sana na mabeki, target alizopigiwa oblak angekuwa ndo Adrian nakuambia angefungwa goli kumi.Aisee, Adrian should be respected for what he has offered all season long.
Sioni alicho-offer huyu mnamuona wa maana sababu Mara nyingi alivyoidakia Liverpool amepata shield kubwa kutoka kwa mabeki, hata hii gemu ya ATM dakika 90' alilindwa sana na mabeki, target alizopigiwa oblak angekuwa ndo Adrian nakuambia angefungwa goli kumi.
Anakosea kumpangia mpinzani afanye nini
Kwa kweli hapo ndo tulipochemka.Value for Money!
Timu inayohitaji kuwa contender kwenye makombe mengi haitakiwi kwenda kuokota wachezaji walioachwa na timu kama Westham. Imagine, Westham wamemtema, akakaa zake home hana timu nyingine, sisi tukaenda kumchukua ili kumfanya awe kipa namba 2, unategemea akupe nini?
Nani wa kumlaumu?
Damn you King Ngwaba Hahaha Adrian Karius Hahahahaha.....Of course sina shida na Adrian kwa game ya Jana coz nilikwisha uona uwezo wake since mwanzo wa msimu that's why ninakosoa kiujumla na sio only one game.
But hiyo paragraph yako ya mwisho![]()
![]()