Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ES4kDevXQAI1CCB.jpeg

😬😬😬
 
kwa lile soka ni Mungu tu ndio aliyejua kwamba mtafungwa ile game..ila dunia nzima walijua lazma mshinde..mlitisha sana..nilitamani nimpigie simu Pep nimwambie nataka city tumchezee Madrid hivyo pale Etihad.
Hakika vijana walipambana kadri wawezavyo kabla ya ile mistake ya Adrian na pale mbele nako kutokua clinical...

Mkicheza mpira ule na Kun awe pale kati naamini atatoka na hat trick safi kabisa...

YNWA
 
Hakika vijana walipambana kadri wawezavyo kabla ya ile mistake ya Adrian na pale mbele nako kutokua clinical...

Mkicheza mpira ule na Kun awe pale kati naamini atatoka na hat trick safi kabisa...

YNWA
kweli kabisa mkuu...na bahati iwe kwetu tu hahahahaahaahaa..maana najua kipa wa Madrid awezi kukaza kama Oblack..
Ujue ile game ya jana ingekuwa kibongo bongo huku tungeseme A, Madrid walikua wanatumia ndumba pale golini kwao..maana mwamba wa goli ulikua kama unasumaku hivi kipa asipodaka, mwamba unazuia.
 
mimi kwa upande wangu namuona Adrian ndio tatizo licha ya liver kukosa magoli mengi ....balaa alilianzisha yeye kutoa boko na kusababisha goli muda ambao hata wapinzani walikua tayari wameshakubali kushindwa..baada ya kupata lile goli A.M walipata morale, walipata matumaini..huku wachezaji wa liver wakikata tamaa ya kushinda..mimi nina imani kama Alison.B angekuwepo liver angeshinda ile game.
hata Ali kuna makosa huwa anafanya, anyway hapa Adrian kabebeshwa zigo lkn ukweli walioshindwa kuweka goli mbili ndani ya dk 90 nao wana sehemu yao ya lawama tena kubwa kuliko Adrian.....

hii timu yetu pale mbele tusiposajili vitu vipya next season tutalia
 
pale mbele mbona walikua wanapiga kazi kutafuta goli vizuri tu?....kama ni goli walilitafua sana licha ya kwamba walifanyiwa marking na wapinzani wao ila walijiitahidi sana..niwe mkweli tu, sijaona udhaifu saaaana pale mbel, walijitahidi kadri ya uwezo wao, sema A, Madrid nao walikua wana defense sana pengine ndio kilichochangia liver wasipate matokeo mapema.
 
kweli kabisa mkuu...na bahati iwe kwetu tu hahahahaahaahaa..maana najua kipa wa Madrid awezi kukaza kama Oblack..
Ujue ile game ya jana ingekuwa kibongo bongo huku tungeseme A, Madrid walikua wanatumia ndumba pale golini kwao..maana mwamba wa goli ulikua kama unasumaku hivi kipa asipodaka, mwamba unazuia.
Huyu Obalak ni habari nyingine kabisa ndugu...

Kipindi Chelsea wanahangaika kununua kipa walimgusa wakaambiwa walete £100m na ukweli he is worth hio bei...

Yaani jana utadhani post za goli zilisogezwa pembeni ndugu..

Kipa wa Madrid wenyewe wameshamchoka naona wameanza tena kumchungulia Degea hivyo pale mkiwa clinical and lethal mtatoka na mengi...

YNWA
 
Acheni uongo bwana watu wa liver mbona mnakua hvyo? Hzo takwim huwa mnagaiana pale anfield au huwa mnazitoa wapView attachment 1385636

Sent from my iPhone using JamiiForums
Duu mkuu una shinda gani na sisi wana Anfield....

Kwa attachment yako hapo ni (shot on target 14 + shot off target 15 + blocked shot 7 jumla zote unapata 36 shots...

Sasa hapo sisi tumepika nini ndugu wakati picha yako inasema yote hayo..

YNWA
 
pale mbele mbona walikua wanapiga kazi kutafuta goli vizuri tu?....kama ni goli walilitafua sana licha ya kwamba walifanyiwa marking na wapinzani wao ila walijiitahidi sana..niwe mkweli tu, sijaona udhaifu saaaana pale mbel, walijitahidi kadri ya uwezo wao, sema A, Madrid nao walikua wana defense sana pengine ndio kilichochangia liver wasipate matokeo mapema.
uko sahihi, mimi pia sisemi Adrian hajafanya kosa, ila ninachosema ni kwamba sio sahihi kumtwisha zigo lote yeye peke yake!

alikuepo Ali mechi na westham, tukaruhusu goli 2, ikaja kwa watford 3, ila leo kosa la Adrian tena nje ya muda wa kawaida ndio iwe kesi? hapana!

mimi sio muumini wa ku-single out mchezaji mmoja kwa udhaifu wa timu nzima!,,,, Stev mwenyewe alitunyima ubingwa kwa kuslip, iwe Adrian leo?.

All in all, msimu huu kwangu umekua bora sana kuliko misimu yote niliyowahi kuishuhudia liver, Ep inarudi nyumbani........ tumechekwa sana!
 
Upo sahihi ndugu tuangalie mazuri ya msimu huu...

When one door is closed(UCL) another is opened(EPL)... Life goes on..

And let be honest any Reds out there will choose EPL over any other crown this season...

YNWA
 
Msichokijua Liverpool ni kwamba your team is so mechanical.

Mnaoptions chache sana za kutengeneza nafasi za kufunga of which sehemu hizo mkikamatwa hamna namna zaidi ya kufamble tu uwanjani.

Liverpool inategemea watu wanne tu kutengeneza nafasi za magoli hao watu wakishashikwa mnakosa cha kufanya kumuumiza opponent.

Nilisema toka game kwanza mliposhindwa kupiga hata shot on target moja it was a wake up call.

Atletico Madrid siyo wa kufunga kwa mbio hawa unawaadhibu kwa deadball kama alivyofanya Juventus last season.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom