Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 850
- 1,358
Mchawi uyoooKuna jamaa yupo hum ye anataka kila mtu awe bora kwa 100%
Utaskia hendo ana kazi gani pale lfc kana kwamba klopp anakosea ila yeye anapatia![]()
Mchawi uyoooKuna jamaa yupo hum ye anataka kila mtu awe bora kwa 100%
Utaskia hendo ana kazi gani pale lfc kana kwamba klopp anakosea ila yeye anapatia![]()
Leo tutaambiwa Klopp anajua mpaka tukome.
Hendo akae benchi ampishe Ox, kama Ox angekuwepo tungepata 5 goals.

Some watch the game, some "SEE" the game.TITLE RACE.
Today was the turning point kwenye TITLE RACE.
Yes, the TITLE RACE, has officially begun today, and i'm so excited.
Matokeo yetu na City kwa siku ya leo, yameonesha determination ya kila team katika mbio za ubingwa, we want to win it for the first time in 29 years, & they want to retain it kwa mara ya tatu mfululizo (should be a record)..
Hence, inafanya game ya Anfield kuwa ya kufa na kupona kwa kila team, City wataridhika na draw kwasababu game ya round ya pili itakuwa ni kwao, so they'll aim for a draw, which kama wakipata itakuwa a killer for us. City wana tough games baada ya Anfield, so kama wakipata wanachokitaka at Anfield, focus itaongezeka zaidi, but kama wakipoteza at Anfield, then tutakuwa clear kwenye league title.
So, City game ni MUST win, i know itakuwa ni game yenye tension sana, kama ile ya msimu uliopita, but kama ninavyosema kila siku, kama tukishindwa ku-take advantage na mapungufu yao kwenye backline, then tutakuwa tumejikaanga wenyewe. hakuna wakati mzuri wa kucheza na City kama sasa, i know mood yao ipo high baada ya kushinda game ya leo, so watakuja Anfield na focus ya hali ya juu, but we've got Fabinho/VVD and the front 3, and the inform Trent, we can do this.
Win this game and the league will be 75% ours. unless itokee big **** up, Dec-feb.
Cant say, i'm suprised.They are missing LAPORTE man.
if, we dont beat them this time, sijui excuse itakuwa ni ipi.
A month ago..WANAKUJA ANFIELD IN A MONTH TIME, WITHOUT LAPORTE AT THE BACK!
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAH
WE'RE WINNING IT.
LET ME JUST JINX IT, BUT MAN **** IT, AND JUST **** IT. WE'RE WINNING THE TITLE. I DONT FUCKING CARE, OH MY GOD! I DONT FUCKING CARE.
EIGHT FUCKING POINTS CLEAR.
Ahead of the curve.*Beat them
they'll have Otamendi & Fernandinho/Stones at the back.
we cant waste this opportunity.
Mkuu hiyo mechi mimi hainipi pressure kabisa ,mechi tunashinda hiyo.
Ingekuwa etihad pale sawa ningekuwa na wasiwasi,hao wakijitahidi hapo anfield ni droo.
Man city hawako vizuri ,tuache kukalili.hii mechi ya leo ni muhimu sana sana kwa sisi kushinda,so tutacheza vizuri sana tushinde .

Acha kuzuga basi kama nawe ulianza kumfahamu Pep akiwa Man City tu, kuna rekodi nzuri sana pale Barcelona chini ya Pep ilitakiwa ivunjwe na Samuel Eto'o.
Pep alipokabidhiwa tu club alimuweka Samuel Eto'o benchi ili asiivunje ile rekodi ilihali hakuwa chini ya kiwango.
Una jingine tena la kumtetea huyo Pep Baguzi la rangi nyeusi toka Africa?
Ahead of the curve.Man, was so far away from this platform, but i had to find a way to post kitu chochote kile nilivyosikia kuwa Club imemsajili Fabio Tavarez. HAHAHAHAHAAHAHA.
Finally, after 9 years club imefanikisha kusajili a WORLD CLASS DEFENSIVE MIDFIELDER, and not just a DM but a TOP DM. I dont think you even understand the importance of this signing.
FABIO TAVAREZ MAN HAHAHAHAHHA, what a Signing ffssssssss!!!!!!!!
Klopp finally binning the Stooges hhahahahaha, the Dortmund Era has begun, a team full of BALLERS HAHAHAHAHAHA.
KLOPP WITH MONEY TO SPLASH THIS SUMMER, THEY ARE NOT READY MY MAN, THEY ARE NOT READY AT ALL.
This was the day, we announced Fabinho.LIVERPOOL FOOTBALL CLUB, BACK TO THE ELITE STATUS.
Leo, tutakuwa tunakumbushana.Klopp easing Fabinho slowly kwenye team, hope advisors wa Faby kina Deco watakuwa wanaelewa hili.
and kama angemuanzisha Faby jana, ingekuwa ni suicidal move, because hajawahi kucheza as a lone MF kwenye maisha yake yote ya mpira, he needs time to adjust, katika mfumo wa Klopp ni Attacking Players tu ambao huwa haiwahitaji muda sana wa kuwa eased, (Mane, Salah and now Naby etc walikuwa thrown strainght into the pitch), Ox alikuwa anacheza kama wingback at Arsenal, and wenger alikuwa anasita sana kumpa nafasi kwenye eneo la CAM, so kutoka kwenye position ya wingback mpaka CAM, ilikuwa inahitaji time kidogo na ndiyo maana Klopp alimpa muda Ox wa mazoezi zaidi.
Bakayoko is a good player, but Conte rushed him kwenye team, kutoka kwenye mikono ya attacking minded manager kama Jardim, mpaka kwa DF coach kama Conte tena kwenye 3-5-2, surely he needed time, but haikuipata na wala hakuwa eased taratibu, not blamimg Conte though, and now we have Fred, a very good young Mid, but Mou alishindwa kuelewa kuwa jamaa katoka league nyepesi ya Ukraune and he needed time to adjust, he's struggling a lot now, ni kwamba MFs hasa DMs huwa wanahitaji sana time ya kusettle kwasababu huwa ndiyo focal point ya team yeyote ile.
Jorginho, adapting well, but hajawa used na pace ya EPL, getting caught in possession a lot, but Kante is always there to calm things down, kitu kikubwa kinamchomsaidia sana Jorginho ni kuwa anaujua sana mpira wa Sarri (Sarri ball), so ni moja kati ya Mids ambao watawahi sana kuimaster EPL.
and i like the look of Arsenal's Matteo Guendouzi, anafanya makosa mengi na bado haijaiweza pace ya EPL, but he's always there for ball na ukichukulia kuwa ana miaka 19 tu, will be a very very very good player and he is safe under Emery, man, we have Grujic but tunachelewa sana kumpa nafasi, but nadhani Klopp ana plans za muda mrefu sana na Grujic, kwasababu alikuwa kabakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake, na report zilikuwa zinasema alikuwa anagoma kusign new contract kabla hajaondoka kwa mkopo, but Klopp kapigana mpaka Grujic kasign a new contract, inaonekana bado yupo sana kwenye mipango ya Klopp. lets wait and see.
Josep Guardiola is NOT a racist.Unajua alichukua vikombe vingapi msimu wake wa kwanza?
Hilo pengo la Etoo uliliona?