Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpira mzuri bila kombe hata la FA ni ujinga wa Tottenham na Liverpool

Kuna Kitu Huwa Munakijua Lakini Munababaisha Kwa Makusudi.

Mara Nyingi Makocha Wanaoshinda Makombe Katika Misimu Yao Ya Mwanzo Huwa Wanshinda Kupitia Foundation imara Za Wengine. Lakini Kocha Aliyekuta Timu Katika Foundation Mbovu Basi lazima imchukue Muda Kujenga Foundation iliyoimara ili aweze Kushinda Makombe.
Nitakupa Mifano.

√ Mtazame Conte ambaye Ni Kocha Mbovu! Last Season alibeba Kombe la EPL Katika Msimu Wake Wa Kwanza na Mashabiki Wa Chelsea Wakaona Wamepata Bonge la Kocha!
Kumbe timu aliyoshindia Kombe Kaikuta Kamili ambayo ilishatengenezwa na Na Foundation ya Mourinho. Alipoipangua Kwa Kutoa Key Players Matic & Costa na Kujenga Foundation Yake Ya Kina Drinkwater, Zappacosta na Bakayoko, muangalie Timu anapoipeleka.

√ Mtazame Wnger Miaka Ya Mwazo 1996 kuja Arsenal Na Kukuta Timu imeshajengwa Foundation imara alivyokuwa na Mafanikio ya EPL, Lakini alipoanza Kujenga Foundation Yake Ya Kina Abou Diaby na Welbeck nadhani unajua Kilichomtokea.

√ Ferguson Baada Ya Kuichukua Man United Mwaka 1986 aliikuta Katika Foundation Mbovu ikamchukuwa Miaka 6 kuijenga mpaka Mwaka 1992 akafanikiwa Kuijenga Foundation imara iliyodumu Kwa Miaka isiyopungua 20. Hatimae Foundation hile Watu Wa Mwisho Kabisa Walioimalizia Ni Paul Scholes, Garry Neville na Ryan Giggs.
Baada Ya Hapo Fergie Akaondoka Akawaachia Warithi Balaa lililopo.
Sasahivi ndiyo Mourinho anajitahidi Kutaka Kutengeneza Foundation imara.

√ Zidane Ni Kocha Aliyepata Mafanikio Kwa Haraka, Lakini angalia Timu imara aliyoikuta ya Kina Ramos, Marcelo, Kroos, Modric, Ronaldo, Bale na Benzema Je Ni Foundation Yake? Ukweli Ni Kwamba Ni Foundation ambayo Kwa 90% Mourinho anahusika. Lakini Subiri Imalizike Foundation Ya Wachezaji aliwakuta ambao wengi wao umri umeshawakimbia ikisha atengeneze Yake ya Kina Asensio na Vasquez uone Mafanikio Yake.

√ Barcelona ilianza Kupata Mafanikio Baada Ya Ridjkad Kuanza Kutengeneza Foundation yake (Ronaldinho, Deco, Eto'o, Yaya Toure) akisaidiwa na Foundation Ya La Macia (Xavi, Messi na Iniest) wakati Huo ikiwa inaanza Kuleta impact.
Hatimae Guardiola akawakuta La Macia Tayari Wameshafikia Katika Peak ndiyo Akafanikiwa Kwa Kiasi Kikubwa Kwa Kikosi Kilichodumj Takriban Miaka 10.
Sasahivi La Macia inaelekea Ukingoni basi Unaona Wanavyonyanyaswa na Hata Roma! Sasa Sijengi Picha Yule Mchawi Messi anaetumia Jitihana Zake Binafsi atakapofikia Ukingoni sijui itakuaje.

TUJE KWENYE POINT:

Na Yeye Klopp huu Ni Msimu Wa 3 tokea aje Liverpool! Lakini To be Honest iangalie Foundation aliyoikuta Ya Kina Mignolet, Henderson, Kolo Toure, Benteke, Lovren, Skirtel, Lucas, Can, Clyne, Moreno, Origi n.k. Ni Kweli anaweza Shinda Kombe?

Lazima imchukue Muda Kujenga Foundation Yake Imara itakayoweza Kuleta Mafanikio.
Na Sasahivi Ndiyo unaona Yupo Anaendelea Na Ujengaji Wa Timu.
Kwavile Timu Hakuikuta na Baadhi Ya Mapungufu tu Kama Atayaziba Kwa Msimu Mmoja Kama Alivyofanya Guardiola! itambidi achukue Muda Zaidi Ya Misimu 3 ili kuijenga Kwani Kaikuta Timu Yote Nzima ina Mchezaji Mmoja tu (Mtoe Coutinho) Anayedeserve Kucheza First XI ambaye Ni Firmino Peke Yake.
Klopp inambidi Ajenge Wachezaji Wote10 waliobakia na Benchi la Subs jambo Ambalo Haiwezekani Kununua Wachezaji Wa Timu Nzima Kwa Msimu mmoja au Miwili.

• Msimu Wake Wa Kwanza Alianza Kujenga Kwa Kumnunua Sadio Mane na Kumpandisha TAA kutoka Academy.

• Msimu Wa Pili Akamnunua Mo Salah, Robertson na VVD

• Na Msimu Huu Kamnunua Keita na Fabinho na Huenda Akamnunua Nabil Fekir, CB na GK.

Sasa Hapo itakuwa Tayari ameshajenga Foundation Yake Mwenyewe na Ndiyo anaweza Kushindania Makombe.
 
umeshiriki uropa mpaka sir God kakuhurumia...unajifariji na kikombe cha 2005 na sasa imebaki story2..
Unfortunately klopp ni loser wa fainali

Kwa Mantiki Ya Post Yako Hii Najiridhisha Kuwa Kuwa Mimi Ni Sawa Na BAKHRESSA ninayebishana na MUUZA KARANGA.

Mimi Nimeshift Kutoka Europa Kuja Kushiriki CL. Hapa nimeimprove Kwa Kupiga Hatua Mbele.

Lakini Cha Ajabu wewe Mwenzangu umetoka Kushiriki CL na Kwenda Kushiriki Europa. Hapo umepiga Hatua nyuma.

Then, Wewe unayerudi Nyuma unapata Wapi Ujasiri Wa Kunisema Mimi Ninayekwenda Mbele?

Bora Nikuache tu nispoteze muda wangu Kwa Kubishana na wewe unayeshindwa Kutofautisha Forward na Backward.
 
Ametumia zaidi ya £200mills kununua Kama sikosei zaidi ya wachezaji 15 kwa miaka mitatu na hana kikombe cha kuonesha, nafikiri msimu ujao utakuwa ni ultmatum kwake la sivyo ataigeuza Liverpool kuwa Tottenham
 
wewe bana tutolee mapicha picha yako humu,kapambane na hali zenu huko na mourinyo wenu
.
FB_IMG_15275640745779791.jpg
 
Mo Salah akiwasili jijini Valencia (Spain) Kwa ajili ya Matibabu Ya Bega lake.
Kaamua Kumpotezea Mwandishi aliyeanza Kumletea Unoko...

Ametumia zaidi ya £200mills kununua Kama sikosei zaidi ya wachezaji 15 kwa miaka mitatu na hana kikombe cha kuonesha, nafikiri msimu ujao utakuwa ni ultmatum kwake la sivyo ataigeuza Liverpool kuwa Tottenham

Sikufikiria Kama Mtu Kama Wewe Utatoa Comment Kama Hii!!!!

Hivi Timu inayojengwa Kwa Wachezaji Wote 11 unaizungumzia Kuwa imetumia £200m?????

Mkuu umesahau Kuwa £200 Ni Ya Wachezaji Wawili tu tena Wakawaida na si Wa Kiwango Cha Kina Hazard na Dybala?

Hebu Mtazame Mourinho hela alizotumia na Msimu huu alisema anahitaji £300m ili kuboresha Kikosi!!!

Mkuu Liverpool aliyoikuta Klopp Haihitaji Kuzibwa Mapengo Bali alihitajika Kuijenga Yote Nzima Kuanzia Kipa mpaka Mshambuliaji.
So, Kutumia £200m Ni pesa mbuzi sana Kwa Soko la Sasa na Ni Aibu Kwa Timu Kama Liverpool isipokuwa Ujanja Wa Klopp tu Kuwanunua Kina Salah na Mane Kwa Hela Ya Karanga.

Kwa Kutumia £200m Basi Haijawa Aibu Kwa Mpira Wa Sasa kwani Ni Vigumu Pesa Hiyo Kubebea Ubingwa Kwa Timu inayotengezwa Sasa.

Wastani Wa Matumizi ambayo Liverpool inapaswa itumie na iwe imara Basi angalau iwe £600m.

Mkuu Wewe Ni Mchambuzi Mkongwe hupaswi Kutoa Comment kama hizo.
 
Kuna Kitu Huwa Munakijua Lakini Munababaisha Kwa Makusudi.

Mara Nyingi Makocha Wanaoshinda Makombe Katika Misimu Yao Ya Mwanzo Huwa Wanshinda Kupitia Foundation imara Za Wengine. Lakini Kocha Aliyekuta Timu Katika Foundation Mbovu Basi lazima imchukue Muda Kujenga Foundation iliyoimara ili aweze Kushinda Makombe.
Nitakupa Mifano.

√ Mtazame Conte ambaye Ni Kocha Mbovu! Last Season alibeba Kombe la EPL Katika Msimu Wake Wa Kwanza na Mashabiki Wa Chelsea Wakaona Wamepata Bonge la Kocha!
Kumbe timu aliyoshindia Kombe Kaikuta Kamili ambayo ilishatengenezwa na Na Foundation ya Mourinho. Alipoipangua Kwa Kutoa Key Players Matic & Costa na Kujenga Foundation Yake Ya Kina Drinkwater, Zappacosta na Bakayoko, muangalie Timu anapoipeleka.

√ Mtazame Wnger Miaka Ya Mwazo 1996 kuja Arsenal Na Kukuta Timu imeshajengwa Foundation imara alivyokuwa na Mafanikio ya EPL, Lakini alipoanza Kujenga Foundation Yake Ya Kina Abou Diaby na Welbeck nadhani unajua Kilichomtokea.

√ Ferguson Baada Ya Kuichukua Man United Mwaka 1986 aliikuta Katika Foundation Mbovu ikamchukuwa Miaka 6 kuijenga mpaka Mwaka 1992 akafanikiwa Kuijenga Foundation imara iliyodumu Kwa Miaka isiyopungua 20. Hatimae Foundation hile Watu Wa Mwisho Kabisa Walioimalizia Ni Paul Scholes, Garry Neville na Ryan Giggs.
Baada Ya Hapo Fergie Akaondoka Akawaachia Warithi Balaa lililopo.
Sasahivi ndiyo Mourinho anajitahidi Kutaka Kutengeneza Foundation imara.

√ Zidane Ni Kocha Aliyepata Mafanikio Kwa Haraka, Lakini angalia Timu imara aliyoikuta ya Kina Ramos, Marcelo, Kroos, Modric, Ronaldo, Bale na Benzema Je Ni Foundation Yake? Ukweli Ni Kwamba Ni Foundation ambayo Kwa 90% Mourinho anahusika. Lakini Subiri Imalizike Foundation Ya Wachezaji aliwakuta ambao wengi wao umri umeshawakimbia ikisha atengeneze Yake ya Kina Asensio na Vasquez uone Mafanikio Yake.

√ Barcelona ilianza Kupata Mafanikio Baada Ya Ridjkad Kuanza Kutengeneza Foundation yake (Ronaldinho, Deco, Eto'o, Yaya Toure) akisaidiwa na Foundation Ya La Macia (Xavi, Messi na Iniest) wakati Huo ikiwa inaanza Kuleta impact.
Hatimae Guardiola akawakuta La Macia Tayari Wameshafikia Katika Peak ndiyo Akafanikiwa Kwa Kiasi Kikubwa Kwa Kikosi Kilichodumj Takriban Miaka 10.
Sasahivi La Macia inaelekea Ukingoni basi Unaona Wanavyonyanyaswa na Hata Roma! Sasa Sijengi Picha Yule Mchawi Messi anaetumia Jitihana Zake Binafsi atakapofikia Ukingoni sijui itakuaje.

TUJE KWENYE POINT:

Na Yeye Klopp huu Ni Msimu Wa 3 tokea aje Liverpool! Lakini To be Honest iangalie Foundation aliyoikuta Ya Kina Mignolet, Henderson, Kolo Toure, Benteke, Lovren, Skirtel, Lucas, Can, Clyne, Moreno, Origi n.k. Ni Kweli anaweza Shinda Kombe?

Lazima imchukue Muda Kujenga Foundation Yake Imara itakayoweza Kuleta Mafanikio.
Na Sasahivi Ndiyo unaona Yupo Anaendelea Na Ujengaji Wa Timu.
Kwavile Timu Hakuikuta na Baadhi Ya Mapungufu tu Kama Atayaziba Kwa Msimu Mmoja Kama Alivyofanya Guardiola! itambidi achukue Muda Zaidi Ya Misimu 3 ili kuijenga Kwani Kaikuta Timu Yote Nzima ina Mchezaji Mmoja tu (Mtoe Coutinho) Anayedeserve Kucheza First XI ambaye Ni Firmino Peke Yake.
Klopp inambidi Ajenge Wachezaji Wote10 waliobakia na Benchi la Subs jambo Ambalo Haiwezekani Kununua Wachezaji Wa Timu Nzima Kwa Msimu mmoja au Miwili.

• Msimu Wake Wa Kwanza Alianza Kujenga Kwa Kumnunua Sadio Mane na Kumpandisha TAA kutoka Academy.

• Msimu Wa Pili Akamnunua Mo Salah, Robertson na VVD

• Na Msimu Huu Kamnunua Keita na Fabinho na Huenda Akamnunua Nabil Fekir, CB na GK.

Sasa Hapo itakuwa Tayari ameshajenga Foundation Yake Mwenyewe na Ndiyo anaweza Kushindania Makombe.
Muda ni hakimu mzuri [HASHTAG]#KING[/HASHTAG] ila bado unaendelea kushangaza kwa kusema CONTE ni kocha mbovu dahhhhhhh wewe kweli unaelewa unachokisema?jitathmini ...........mwenzio ana 1 trophy this season wewe umetoka kapa bado unamuita mbovu? Hivi vichwa hivi muda mwingine sijui vinaingiliwaga na nini.....
 
Kwa Mantiki Ya Post Yako Hii Najiridhisha Kuwa Kuwa Mimi Ni Sawa Na BAKHRESSA ninayebishana na MUUZA KARANGA.

Mimi Nimeshift Kutoka Europa Kuja Kushiriki CL. Hapa nimeimprove Kwa Kupiga Hatua Mbele.

Lakini Cha Ajabu wewe Mwenzangu umetoka Kushiriki CL na Kwenda Kushiriki Europa. Hapo umepiga Hatua nyuma.

Then, Wewe unayerudi Nyuma unapata Wapi Ujasiri Wa Kunisema Mimi Ninayekwenda Mbele?

Bora Nikuache tu nispoteze muda wangu Kwa Kubishana na wewe unayeshindwa Kutofautisha Forward na Backward.
Suala hapa wote ni LOSER.
sasa usijiridhishe eti kwa kuwa umeshiriki wala nini kama mafanikio ni kushiriki basi ARSENAL wangekuwa na mafanikio zaidi
 
Kuna Kitu Huwa Munakijua Lakini Munababaisha Kwa Makusudi.

Mara Nyingi Makocha Wanaoshinda Makombe Katika Misimu Yao Ya Mwanzo Huwa Wanshinda Kupitia Foundation imara Za Wengine. Lakini Kocha Aliyekuta Timu Katika Foundation Mbovu Basi lazima imchukue Muda Kujenga Foundation iliyoimara ili aweze Kushinda Makombe.
Nitakupa Mifano.

√ Mtazame Conte ambaye Ni Kocha Mbovu! Last Season alibeba Kombe la EPL Katika Msimu Wake Wa Kwanza na Mashabiki Wa Chelsea Wakaona Wamepata Bonge la Kocha!
Kumbe timu aliyoshindia Kombe Kaikuta Kamili ambayo ilishatengenezwa na Na Foundation ya Mourinho. Alipoipangua Kwa Kutoa Key Players Matic & Costa na Kujenga Foundation Yake Ya Kina Drinkwater, Zappacosta na Bakayoko, muangalie Timu anapoipeleka.

√ Mtazame Wnger Miaka Ya Mwazo 1996 kuja Arsenal Na Kukuta Timu imeshajengwa Foundation imara alivyokuwa na Mafanikio ya EPL, Lakini alipoanza Kujenga Foundation Yake Ya Kina Abou Diaby na Welbeck nadhani unajua Kilichomtokea.

√ Ferguson Baada Ya Kuichukua Man United Mwaka 1986 aliikuta Katika Foundation Mbovu ikamchukuwa Miaka 6 kuijenga mpaka Mwaka 1992 akafanikiwa Kuijenga Foundation imara iliyodumu Kwa Miaka isiyopungua 20. Hatimae Foundation hile Watu Wa Mwisho Kabisa Walioimalizia Ni Paul Scholes, Garry Neville na Ryan Giggs.
Baada Ya Hapo Fergie Akaondoka Akawaachia Warithi Balaa lililopo.
Sasahivi ndiyo Mourinho anajitahidi Kutaka Kutengeneza Foundation imara.

√ Zidane Ni Kocha Aliyepata Mafanikio Kwa Haraka, Lakini angalia Timu imara aliyoikuta ya Kina Ramos, Marcelo, Kroos, Modric, Ronaldo, Bale na Benzema Je Ni Foundation Yake? Ukweli Ni Kwamba Ni Foundation ambayo Kwa 90% Mourinho anahusika. Lakini Subiri Imalizike Foundation Ya Wachezaji aliwakuta ambao wengi wao umri umeshawakimbia ikisha atengeneze Yake ya Kina Asensio na Vasquez uone Mafanikio Yake.

√ Barcelona ilianza Kupata Mafanikio Baada Ya Ridjkad Kuanza Kutengeneza Foundation yake (Ronaldinho, Deco, Eto'o, Yaya Toure) akisaidiwa na Foundation Ya La Macia (Xavi, Messi na Iniest) wakati Huo ikiwa inaanza Kuleta impact.
Hatimae Guardiola akawakuta La Macia Tayari Wameshafikia Katika Peak ndiyo Akafanikiwa Kwa Kiasi Kikubwa Kwa Kikosi Kilichodumj Takriban Miaka 10.
Sasahivi La Macia inaelekea Ukingoni basi Unaona Wanavyonyanyaswa na Hata Roma! Sasa Sijengi Picha Yule Mchawi Messi anaetumia Jitihana Zake Binafsi atakapofikia Ukingoni sijui itakuaje.

TUJE KWENYE POINT:

Na Yeye Klopp huu Ni Msimu Wa 3 tokea aje Liverpool! Lakini To be Honest iangalie Foundation aliyoikuta Ya Kina Mignolet, Henderson, Kolo Toure, Benteke, Lovren, Skirtel, Lucas, Can, Clyne, Moreno, Origi n.k. Ni Kweli anaweza Shinda Kombe?

Lazima imchukue Muda Kujenga Foundation Yake Imara itakayoweza Kuleta Mafanikio.
Na Sasahivi Ndiyo unaona Yupo Anaendelea Na Ujengaji Wa Timu.
Kwavile Timu Hakuikuta na Baadhi Ya Mapungufu tu Kama Atayaziba Kwa Msimu Mmoja Kama Alivyofanya Guardiola! itambidi achukue Muda Zaidi Ya Misimu 3 ili kuijenga Kwani Kaikuta Timu Yote Nzima ina Mchezaji Mmoja tu (Mtoe Coutinho) Anayedeserve Kucheza First XI ambaye Ni Firmino Peke Yake.
Klopp inambidi Ajenge Wachezaji Wote10 waliobakia na Benchi la Subs jambo Ambalo Haiwezekani Kununua Wachezaji Wa Timu Nzima Kwa Msimu mmoja au Miwili.

• Msimu Wake Wa Kwanza Alianza Kujenga Kwa Kumnunua Sadio Mane na Kumpandisha TAA kutoka Academy.

• Msimu Wa Pili Akamnunua Mo Salah, Robertson na VVD

• Na Msimu Huu Kamnunua Keita na Fabinho na Huenda Akamnunua Nabil Fekir, CB na GK.

Sasa Hapo itakuwa Tayari ameshajenga Foundation Yake Mwenyewe na Ndiyo anaweza Kushindania Makombe.
umeongea ukwel mtupu ila swal langu je ni lin tuanze kumukum klopp??
au kama yeye alivyosema baada ya miaka3 namaanisha misimu 3
 
Muda ni hakimu mzuri [HASHTAG]#KING[/HASHTAG] ila bado unaendelea kushangaza kwa kusema CONTE ni kocha mbovu dahhhhhhh wewe kweli unaelewa unachokisema?jitathmini ...........mwenzio ana 1 trophy this season wewe umetoka kapa bado unamuita mbovu? Hivi vichwa hivi muda mwingine sijui vinaingiliwaga na nini.....

Nadhani Kama Umesoma Maelezo Yangu Kwa Kina Kwenye Hicho Kipengele Basi Ungejua Kwanini Nimesema Conte Mbovu na Si Kocha Sahihi Wa Kuifundisha Chelsea.

Hata Ranieri Alibeba Trophy na Lesta Je Umewahi Kusikia Kuna Timu iliyo na haja na Ranieri?

Mimi Naamini Klopp iwapo ataendelea Kuijenga Timu kama Anavyofanya Sasa Kwa Kuzidi Kuongeza Wachezaji Basi Trophy Zitakuja.
Kwahakika Klopp Kakuta Timu Mbovu ya Kucheza Ndondo Cup Lakini anajitahidi Kuijenga ingawa bado Hajamaliza Lakini Atakamilisha.

Na Subirini karibuni Nyie Arsenal Munaemsifia Emery Muone atakavyowaumbua na Mukamtamani Wenger.
 
umeongea ukwel mtupu ila swal langu je ni lin tuanze kumukum klopp??
au kama yeye alivyosema baada ya miaka3 namaanisha misimu 3

Klopp Tofauti Na Makocha Wengine! Yeye Alipokuja tu Liverpool, Msimu Wa Kwanza Mzima na Nusu Yake Aliupoteza Bila Ya Kufanya Maboresho Kwani Alimleta Sadio Mane Pekee Jambo Ambalo lilitutia Hasira Wengi na ikawa Vurugu Hapa Jukwaani Kwa Kitendo Hicho Cha Kutoifanyia Timu Marekebisho na Kukumbatia Wachezaji Wabovu Kina Origi, Sturridge, Hendo, Lallana, Clyne, Klavan, Lovren, Mignolet, Lucas, Moreno n.k.

Timu Hasa Kaanza Kuitengeneza Msimu Huu Uliomalizika Kwa Kuwanunua Keita, Salah, Robertson na VVD

Lakini Kwa Sasahivi Liverpool Haijapata Mafanikio Yoyote Kwanini Hatumsemi Vibaya wala Hatuna Hasira Naye Kama ilivyokuwa Awali?

Jawabu Ni Kwamba Tayari Anatufanyia Kile Tulichokitaka Cha Kuanzia Kuijenga Timu Kuwa Kusajili Wachezaji Wa Ushindani na Kuanza Kuwaeka Pembeni Yale Magarasa Yote.

Tunajua Huezi Kushinda Kombe kama Huna Timu! Kwahiyo Kwanza Atengeze Timu Ndiyo Aje Ashinde Trophy.

Ni Kweli Klopp Aliahidi Miaka 3 ya Kujenga Timu! Hata Mimi Namuunga Mkono Kwa Hilo na Nitaanza Kumuangalia Msimu Ujao Kuwa Nini Atakifanya.
 
Hili Halina Shaka Ujio Wa Huyu Utawafanya Wengine Wakalie Kuti Kavu....

IMG_20180530_191152.jpg
 
Man, was so far away from this platform, but i had to find a way to post kitu chochote kile nilivyosikia kuwa Club imemsajili Fabio Tavarez. HAHAHAHAHAAHAHA.

Finally, after 9 years club imefanikisha kusajili a WORLD CLASS DEFENSIVE MIDFIELDER, and not just a DM but a TOP DM. I dont think you even understand the importance of this signing.

FABIO TAVAREZ MAN HAHAHAHAHHA, what a Signing ffssssssss!!!!!!!!

Klopp finally binning the Stooges hhahahahaha, the Dortmund Era has begun, a team full of BALLERS HAHAHAHAHAHA.

KLOPP WITH MONEY TO SPLASH THIS SUMMER, THEY ARE NOT READY MY MAN, THEY ARE NOT READY AT ALL.
 
Get in Fekir and imma change my Avatar to Sir Michael Edwards lmaoooo, best DOF in the world.
 
FABIO TAVAREZZZZZ WTF?????????????

WE HAVE FINALLY REPLACED MASCHERANO AND ALONSO, add FEKIR to that Midfield, and Masch/Alonso/SG combo legacy is in real danger my man.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom