Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni bora tuuze ile pitch na vile viti vya anfield ikibidi hata na melwood kwa sasa kuliko kumuachia huyu kiumbe aise
 

Attachments

  • IMG_20191111_090724_976.JPG
    IMG_20191111_090724_976.JPG
    24.1 KB · Views: 13
  • IMG_20191111_090724_976.JPG
    IMG_20191111_090724_976.JPG
    24.1 KB · Views: 9
Josep Guardiola is NOT a racist.


Guardioala never rated Eto'o, and he had to choose Busquets over Yaya Toure.

at Barca, one of his favorite MF balancer was Seydou Keita, ni kama ilivyo kwa Klopp na Milner.

Guardiola didnt rate Zlatan pia, then he sold Deco/Dinho na a lot of white players ambao aliona hawafai kwenye system yake, siyo tu Eto'o.

Klopp alipokuja LFC, hakutaka hata kufanya kazi na Balotelli, akamuuza Benteke na Sakho kwa kosa la kutumia fat burner. siyo kwamba Klopp ni racist, hapana but a WC manager huwa anazingatia players atitude na uwezo wa kufit kwenye mipango yake.

huwez kumuita OGS ni racist kwa kumuuza Lukaku, because alimuondoa pia Sanchez, na his most trusted attackers ni blacks (Rashford/Martial), na kiungo wake tegemezi ni black, Paul Pogba. its all about tactical approach.


Medias/local fans etc ndiyo wanaongoza kwa agenda za ubaguzi. at LFC tuna Echo na local jornos kama Doyle/Bascombe na wale jamaa wa The Anfield Wrap (TAW), actually hawa jamaa wameni-block kwenye kila page yao, hawa na Redmen Tv.

Yeah
Tatizo waafrica wanapenda sana kujibagua, na lolote litalotokea wanahisi langi yao na physical appearance ndo iliyofanya hvyo

Katika interaction zangu za kaz naona sana hyo ikitokea
Sometimes waga nasema sisi kama waafrica ndo tunajitengenezea mazingira ya kubaguliwa
 
Daaaaaah una roho ngumu sana, mpaka uje kushituka wenzako wameshafika wanakokutarajia, wake up my brother, open your brain, usiwe na kichwa kama Daudi Albert Bashite

Huyo ni kama Kenge hashtuki mpaka aone damu
 
Atkinson was very poor.


but, we all know VAR is a failed project.


we've won baadhi ya games kwa decison mbovu za VAR, na bado tutaendelea kupata hiyo bahati in the near future.


so, sidhan kama kuna haja ya kuliangalia sana hili suala la VAR, ukichukulia halipo fair na halitoweza kuja kuwa fair.


with VAR, you win some, and you lose some.
Mwanamichezo mkomavu bingwa huwa kuna muda anakuwa na bahati ktk baadhi ya game huwa ni ishara ya kushinda kitu fulani

Bahati ktk mpira huwa na maana kubwa sana nakumbuka msimu wa 2017 tulimaliza wa pili sisi tulikuwa na bahat sana pamoja na city timu iliyokuwa na bahat mbaya na maamuzi mabovu kwa upande wao ilikuwa liverpool
 
Klopp mnyama sana!
Mane kamaliza mechi dakika ya 50,madakika yote hayo ikawa kusubiri mpira uishe
 
TAA gemu ya jana amestruggle sana hasa baada ya kutoka Henderson niliona klop kaswitch mane position lakini bado haikua msaada kidogo Ox alisaidia maana sterling angemuua yule dogo

Miongoni mwa wachezaji waliocheza vizuri jana ni huyo TAA.
Kama TAA hakucheza vizuri basi Sterling asingetuacha salama.
Kipimo pekee cha kupuma ubora wa TAA ni kuangalia Sterling amepiga ngapi On Target??

Tulishambuliwa sana baada ya klopp kumuingiza Milner ambaye alicheza kama defensive minded ndiyomana timu ikawa chini ambapo Man City wakapata nguvu ya kushambulia ikiongozwa na Bernardo na Sterling.

TAA hakustruggle kama unavyotaka kutuaminisha bali alifanikiwa kwa 100% kumueka mfukoni Sterling

Chenga na mbiyo za Sterling si kipimo cha TAA kustruggle kwani hazikuwa na madhara yoyote kwa upande wetu.

Kama unahesabu kuwa Mpira ni Chenga basi TAA alistruggle

Jana TAA anastahili kujengewa mnara wa Heshima kwa kumdhibiti Sterling mpaka kwa kutumia mikono kuushika mpira alimradi tu Sterling asipite.
 
The crowd performance was awesome. That was Anfield for real. Wale walevi naona bia zao ziliwafikisha kileleni na kama msinge shinda mngewakoma. Ila kazi mliyotupa tutaenda kupambana nayo Etihad lazima tutumie udhaifu wake wa mabeki kuendeleza kilio.

Hongereni kwa ushindi.

Kazi tuliyowapa ni Ngumu na sidhani kama mutaiweza?

Kumdondosha points City ndani ya Etihad?
Kumfanya Pep adrop points back to back?
 
Liverpool against Big Teams so
vs Arsenal W
vs Chelsea W
vs Leceister W
vs Manchester United D🤝
vs Tottenham Hotspur W
vs Manchester city W



City against Big Teams...
vs Tottenham Hotspur D🤝
vs Liverpool L
vs Chelsea 🤷‍♂
vs Arsenal 🤷‍♂
vs Leceister 🤷‍♂
vs Manchester United

Tumemalizana na hawa wakubwa pasipo kupoteza, ngoja tuone City atatokaje humo.
 
Ukiwa na midfield haitengenezi nafasi za kufunga ni tatizo au sio tatizo? Gini ni kiungo anaeweza kukaba kama kina Milner,Keita,Fabinho? Kama kukaba sio kipaji chake kwa macho yangu nilivyomuona tutegemee kuvuna nini Kutoka kwake kama tusitegemee atengeneze nafasi za kufunga Mkuu?

Hivi Mkuu kwenye Overall performance hujakiona alichokifanya GINI jana?

Hivi unaangalia kwenye system anavyochezeshwa GINI lakini?

Hebu fuatilia kwa Makini uone GINI anachezeshwaje na Klopp

Nadhani utakuwa umemconfuse GINI na kiungo mshambuliaji
 
Mwanamichezo mkomavu bingwa huwa kuna muda anakuwa na bahati ktk baadhi ya game huwa ni ishara ya kushinda kitu fulani

Bahati ktk mpira huwa na maana kubwa sana nakumbuka msimu wa 2017 tulimaliza wa pili sisi tulikuwa na bahat sana pamoja na city timu iliyokuwa na bahat mbaya na maamuzi mabovu kwa upande wao ilikuwa liverpool

Umeona Mziki wa City Jana? Jipange kisaikolojia jinsi atakavyokujia na Moto wa kujeruhiwa
 
Hands down to Gini today.

his best tactical performance kwenye Jersey ya LFC.

2nd best player on the pitch after Fabinho.


What a performance from him.


i like this dude so much, huwa naumia sana akiwa ana struggle, but today ame-step up wakati tunamuhitaji sana. i'm so happy for him. so so happy for him.



My little baller.
Man there is something about Gini vs citizens yaani ye always up his game to the unexpected heights...

So cool so composed so lively he give so much jana

Proud Red
 
Dont let that Henderson's cross fool you about his in-field performance.

He was poor, i dont know but, i guess it comes down to his form, he's so out of form right now.


Good assist though. cant take that away from him.


still, a bum.

and, i'll continue to have my agenda against him mpaka at-least arudishe ile "decent" form yake ya games zile 3-4 za mwisho last season au walau kidogo form yake ya 14/15.


other than that, he's still a BUM.
Man Hendo is always a super bum and you will wait ages for that form to ever come back...

Has he been injured for long? No..

Has he been freezed on the bench? NO

Is he played in his favourite position? Yes

Does he have tools around him to deliver? Yes...

If I were Liverpool top hierarchy I would count my losses and gains and let's the boy go..

Indeed great assist jana he provided and am positive em Top reds in UK will talk about this for many many years na hii pekee atakua anapigiwa kampeni awe starter in all games...
 
Yo! will be going to our LFC vs Brighton game, this month, tarehe 30.

Ndiyo games zetu hizi walalahoi, tickets zinapatikana kwa urahisi sana!

Nilipata bahati ya kuwashuhudia peak SG na Torres, pamoja na kina Alonso etc, and as much as i wanted to, sikuweza kupata nafasi ya kuwashuhudia kina Suarez/Coutinho etc, but now i thank God, napata nafasi ya kuwashuhudia kina Faby/VVD/Firmino & Mane/Salah kwenye uzi wa LFC, though it will be against the mighty Brighton, lol. but i thank GOD.

I thank GOD, for everything.
All the best mate...

Cant picture being in that superb atmosphere created during em match days..

YNWA
 
The crowd performance was awesome. That was Anfield for real. Wale walevi naona bia zao ziliwafikisha kileleni na kama msinge shinda mngewakoma. Ila kazi mliyotupa tutaenda kupambana nayo Etihad lazima tutumie udhaifu wake wa mabeki kuendeleza kilio.

Hongereni kwa ushindi.
👌👌👌👌Kazi iendelee....

Kwa sasa Foxes wanaogopeka kuliko Citizens...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom