MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Talks of Klopp trusting his brexit MF (Hendo + Gini/Milner/Lallana).
but, i guess watu hawaoni/ku-ignore the fact kuwa Klopp always uses OX/Keita to bail him out kwenye tight games.
leo, it was OX who changed the entire game, the other day at OT, it was Keita.
but, i guess tunaweza sema ni uzuri wa kuwa na good players ambao wanaweza kubadilisha games, wakihitajika.
As a red, i understand Klopp hawezi kubadilisha his set-ups/shapes and style of play wakati TUNASHINDA, so adjusting these new players kwenye First XI will take time kidogo, some players are lucky, because Klopp aliikuta teams haina a lot of good players, hence akaamua kutafuta set up ambayo ita-balance mahitaji ya team kwa wakati husika (433), we're winning wit this set up, so it will take time kuwa-adjust Keita & OX kwenye first XI, but slowly wameshaanza kuingizwa kwenye set-up mpya.
Thats why, i'm not worried about Ox/Keita game-times, muda wao utafika & they will cement their places kwenye First XI.