*Beat themWe just need a draw with city..thats it
Mapema mkuu kusema hivyo, si unajua hii ni marathon? Ila naona kupoteza kwa city leo kutaongeza marali kwa vijana wetu.Man man Hahahahahahahahah, Tukikosa hii TITLE mi naachana Football kabisa.
*Beat them
they'll have Otamendi & Fernandinho/Stones at the back.
we cant waste this opportunity.
Hii title tunabeba sisiMan man Hahahahahahahahah, Tukikosa hii TITLE mi naachana Football kabisa.



Liverpool kabla ya Kuchekelea sana kumbukeni huu ni mwezi wa 10 ....
Mbichi na mbivu zitajulikana mwakani , angalau ingekuwa mwezi wa 4 hivi mngepaswa kushangilia kama mnavyofanya sasa, vinginevyo mtambue hii ni marathon
Hii title tunabeba sisi
Kila la kheri Chelsea![]()
Pale unapotoka chooni kuvuta bange



wewe huon ushindi wetu sio wa kusua sua kama wakwenu..wewe huon ushindi wetu sio wa kusua sua kama wakwenu..
Tulia ivyo ivyo tuliaaaaa...
Wiki inaisha vizuri swnaHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
WE GOOD?????????
Yaah ilikua hivyohaikuwa 10 points ilikuwa kama hivi
tulimuacha 7 points ikawa tunaenda kucheza nae
tungeshinda ndo ingekuwa 10
tukafungwa zikabaki 4 ndo ikaanza mkosi
There backline is all over the place.today Traore price has just doubled because of city's defense
Everton LWiki inaisha vizuri swna