£250m wow can't see this happening...
Unless we sell Salah for £200 to Real...
Tricky though Real are also interested and Zizou factor might bend this boy there..
Allison kinachom'beba ni ubira wa beki zenu na uzoefu wake ambao ataendelea kukua nao ..
Ila beki zinaanza kumuangusha maana sasa...unashindwa kupata clean sheet adi kwa Genk??? Kwa Man city ndo utaweza kweli?
Achana na kepa sisi hatuna ukuta mgumu ..ila tunaanza kujenga ukuta wa maana ..Tomori apo nyuma ananichafulia balaa Rudger akirud ndo itakuwaje balaa...
Nyie VVd keshaanza kuchoka na hamna backup ya maana.
Na mshahara watamlipa?!!Nike wanaweza mleta huyo kisha wauze jezi wapate hela yao.
Nlkukataza bangi mkuuKama msimu huu hatujasajili na tuko hivi on fire ..tukisajili itakuwaje? ..sasa hivi timu ina mvuto wachezaji wengi wazuri watataka kuja pale..
Wee Liverpool unaelekea kuchoka wakati vijana wa Chelsea ndo moto unawaka. Huoni tofauti apo?
Hii Liverpool msimu huu itajitaidi taidi lakin msimu ujao khali itakuwa mbaya sana.
Tukianza na beki zenu..karibu wote ni over 26 years... Angalia kwa Chelsea ukimuondoa Azp beki zote zilizobaki ni under 24 years hehehe ..aya sasa njo kwa shati lenu Allison cjui umri wake lakin sio chin ya 27, uyu kidog ataendelea kuwabeba beba maan kipa uwezo wake unaongezeka kadir anavyozeeka ..ila bado ni binge la shati ..Samata kapruvu ilo
Njo mbele apo Mane Salah Firmino ..Karib wote ni over 27/28 uko ..uyu Salah tunampa mwaka mmoja tu lazima aende China ..firmino Brazilian wale tunawajua wanachoka mapema ..Mane kwa mbaaali ataendelea kuwabeba ..ila atachoka mapema maana anatumika sana.
Njo kwa Chelsea apo mbele angalia karibu wote ni under 24 hehehe halafu wako on fire kiasi hiki ..wakifika umri wa akina Salah watakuwa ni balaa...
Yani kiufup ninyi munaendelea kushuka aste aste wakati sisi tunapanda mdog mdog ..sasa hivi hamutanielewa kabisa ..ila mzunguko wa pili ukianza tutaelewana tu...
Kila la kheri Chelsea![]()
vice versa is trueLiverpool 3 Mancity 0, my prediction
it's still a 2-horse title race in my opinion.
hivi vitoto 2 vinavyoleta mbanano hapa juu vitaanza kutimuliwa vumbi January onwards pampers zao zitakapozidiwa mkojo.
come on you Reds....create that 9-point cushion fast!
View attachment 1259105
Kabisa ni ngumu sana kwa mwenyeji na mgeni yani kwangu naiona iko 50% kwa 50% hadi sasa hivi, ingawa namtakia LIVERPOOL FC kila la heri.Hii mechi inanipa presha sana
Hapa nimelala kwanza kwa sababu prsha niliyonayo haielezeki.Kabisa ni ngumu sana kwa mwenyeji na mgeni yani kwangu naiona iko 50% kwa 50% hadi sasa hivi, ingawa namtakia LIVERPOOL FC kila la heri.
Kabisa ni ngumu sana kwa mwenyeji na mgeni yani kwangu naiona iko 50% kwa 50% hadi sasa hivi, ingawa namtakia LIVERPOOL FC kila la heri.
Hii mechi inanipa presha sana
To me up now The foxes nawachukulia as big threat than city
And my prediction mpaka round ya kwanza inaisha city atakuwa behind 3 or 4 pts kwa foxes