Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Guardiola hakukosea Mane anajiangusha
Ila Inategemea amejiangushaje
FB_IMG_15734178437954896.jpeg
FB_IMG_15734179821944906.jpeg
 
ili man city aendeleze mbio za kusaka ubingwa ni lazima kesho ampige jogoo pale pale unfield unless otherwise atakuwa amejitoa kwenye mbio, kwan kuna timu kama chelsea na lecister zinakuja kwa speed ya 4g,

Najua hili pep kaliona so kesho do or die, lazima apige mtu pale unfield kwa hisan ya var +referee
PUMBAVU THAAAANA...

Unaanzaje kulipenda baguzi kuu la rangi lililombaguaga Samuel Eto'o na Yaya Toure?

Hivi vitoto vya kidigitali bhana! Haya kakojoe ulale sasa...
Screenshot_20191110-142454.jpeg
 
PUMBAVU THAAAANA...

Unaanzaje kulipenda baguzi kuu la rangi lililombaguaga Samuel Eto'o na Yaya Toure?

Hivi vitoto vya kidigitali bhana! Haya kakojoe ulale sasa...View attachment 1259976

Wewe jamaa uko so obsessed na Pep! Pep ana Sterling, Otamendi, Kylie Walker, Fernandino, alikuwa na Company, wote hawa ni weusi.

Kwa nini mfano wako ni kwa hao wawili tu?

Anyway, mitazamo inatofautiana.
 
niwakumbushe tu haters wote kuwa liva tumeshamalizana na timu zote za top 6 sasa nyie kina chelshit mjue tu mmecheza na liva tu kwenye timu za top 6
Siyo kila Mshabiki wa Chelsea alikuwa anakutakia mabaya kushindwa dhidi ya Man City, jadili hoja bila mihemuko ili uonekane una busara
 
Acha kujibagua mkuu, weusi ni weusi tu.

Hizi ni excuses tu.

Hivi wewe ukipewa Yaya Toure na KDB unamchukua nani?

Ukiambiwa kwenye timu yako either Messi au Etoo unamchukua nani?
Acha kuzuga basi kama nawe ulianza kumfahamu Pep akiwa Man City tu, kuna rekodi nzuri sana pale Barcelona chini ya Pep ilitakiwa ivunjwe na Samuel Eto'o.

Pep alipokabidhiwa tu club alimuweka Samuel Eto'o benchi ili asiivunje ile rekodi ilihali hakuwa chini ya kiwango.

Una jingine tena la kumtetea huyo Pep Baguzi la rangi nyeusi toka Africa?
 
Yaani kuna watu wapumbavu sana na wananikera

Wanaposema refa ametubeba kwanza washukuru sana wachezaji wetu waliridhika otherwise leo ingekua ni kilio kwao

Pili tujadili zile penati...

Penati ya kwanza... Bernardo silva altoa pass kwa mkono na wachezaji wa liva walinyosha mikono juu...

Penati ya pili mkono wa trent ulkua on its natural position hafu sterling ana michezo ya kitoto ya kushikishana mpira... It was better sababu trent mkono wake ulkua kwenye its natural position

Mashabiki uchwara wa bongo wanataka kusema wana akili kulko jopo la VARna refa aliye uwanjani... Wanakera
Referee hakupendelea popote pale.

Vipi goli waliloruhusu LIVERPOOL baada ya Mchezaji wa LIVERPOOL kuangushwa ktk penalty box lakini Referee alipeta wala hakupuliza kipenga na Klopp alichukizwa sana na yale maamuzi ya Referee.

Usibishane na waliochana mikeka ya kubeti, ukipigwa ngeu usije kunilaumu kuwa sikukutahadharisha...
 
Huwa nasoma sana michango ya wakereketwa wa Liverpool. Wengine wanakandya sana. Wengine wanatoa opinions zao... wengine wanakandya list ya Klop ... wengine wanasapoti... basi tabu tupu.

Unaweza kuwa mahiri kulaumu kwanini bwana kapteni anapangwa wanaachwa mastaa wetu... tunaweza kuwa mahiri sana kwenye kukosoa... lakini ukweli mmoja ni kuwa.. Klop anajua soka kuliko sisi... Period!

Mkongwe wa Liverpool tangu enzi hizo nimecomment na kumaliza

YNWA
Kuna jamaa yupo hum ye anataka kila mtu awe bora kwa 100%

Utaskia hendo ana kazi gani pale lfc kana kwamba klopp anakosea ila yeye anapatia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom