Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I still remember this kitu kutoka kwa Doyle.

Pure form of Racism.
IMG_20191110_110214.jpeg
 
Atkinson was very poor.

but, we all know VAR is a failed project.

we've won baadhi ya games kwa decison mbovu za VAR, na bado tutaendelea kupata hiyo bahati in the near future.

so, sidhan kama kuna haja ya kuliangalia sana hili suala la VAR, ukichukulia halipo fair na halitoweza kuja kuwa fair.

with VAR, you win some, and you lose some.
Ahead of the curve.

as a football fan, nakubali kuwa VAR blunder imetusaidia sana kwenye game ya leo. Salah's offside (clear offside), na i'd say, one stonewall pen.

thats the beauty of VAR at times, inaweza kukupotezea game na kukushindia game, today, victim wa VAR walikuwa ni City, na sisi ndiyo tulionufaika.

rival fans can moan all they want, but League title is a marathon, sometimes you need refs kuwa upande wako kushinda baadhi ya games, na hii kwenye footie ndiyo inaitwa LUCKY & WINNING THE LEAGUE AT ALL COSTS.

Couldnt care-less about today's VAR howler, we've won the most important game of this season, and thats what mattters the most.

With VAR, you win some, you lose some.

Its all part of the Game.
 
Yo! will be going to our LFC vs Brighton game, this month, tarehe 30.

Ndiyo games zetu hizi walalahoi, tickets zinapatikana kwa urahisi sana!

Nilipata bahati ya kuwashuhudia peak SG na Torres, pamoja na kina Alonso etc, and as much as i wanted to, sikuweza kupata nafasi ya kuwashuhudia kina Suarez/Coutinho etc, but now i thank God, napata nafasi ya kuwashuhudia kina Faby/VVD/Firmino & Mane/Salah kwenye uzi wa LFC, though it will be against the mighty Brighton, lol. but i thank GOD.

I thank GOD, for everything.
 
King Ngwaba huyu ndio mwamba wa kumponda klopp

Hapa ndiyo shida inapoanzia watu wakazalisha migogoro isiyokuwa ya Lazima.

Kwani mimi ninamponda Klopp au ninamponda Henderson?

Henderson ndiyo ninamponda
But Klopp ninamkosoa

Labda mimi niwe sijui kiswahili au wengine wawe hawajui tofauti ya kuponda na kukosoa.

Najua Klopp anajua zaidi kuliko sisi lakini hilo haliondoshi kuwa asikosolewe kwani nayeye ni Binadamu na anakosea

Najua kuwa Henderson Jana katoa Assist lakini hilo haliondoshi ukweli kuwa yeye ni mbovu zaidi ya wabovu
 
Ahead of the curve.

as a football fan, nakubali kuwa VAR blunder imetusaidia sana kwenye game ya leo. Salah's offside (clear offside), na i'd say, one stonewall pen.

thats the beauty of VAR at times, inaweza kukupotezea game na kukushindia game, today, victim wa VAR walikuwa ni City, na sisi ndiyo tulionufaika.

rival fans can moan all they want, but League title is a marathon, sometimes you need refs kuwa upande wako kushinda baadhi ya games, na hii kwenye footie ndiyo inaitwa LUCKY & WINNING THE LEAGUE AT ALL COSTS.

Couldnt care-less about today's VAR howler, we've won the most important game of this season, and thats what mattters the most.

With VAR, you win some, you lose some.

Its all part of the Game.
Umeanza vizuri sana ila hapa umeharibu
 
Yo! will be going to our LFC vs Brighton game, this month, tarehe 30.

Ndiyo games zetu hizi walalahoi, tickets zinapatikana kwa urahisi sana!

Nilipata bahati ya kuwashuhudia peak SG na Torres, pamoja na kina Alonso etc, and as much as i wanted to, sikuweza kupata nafasi ya kuwashuhudia kina Suarez/Coutinho etc, but now i thank God, napata nafasi ya kuwashuhudia kina Faby/VVD/Firmino & Mane/Salah kwenye uzi wa LFC, though it will be against the mighty Brighton, lol. but i thank GOD.

I thank GOD, for everything.
Na mimi nitakuwepo siku hiyo
 
Daaaaaah una roho ngumu sana, mpaka uje kushituka wenzako wameshafika wanakokutarajia, wake up my brother, open your brain, usiwe na kichwa kama Daudi Albert Bashite
Mnatembelea var kutoa gundu la miaka 29 bila epl,

Ni swala la muda tu, liverpool ,

Hivi mane hakuwahi kumlisha mpira spurs final uefa mkapewa penalt leo mnaanza kumchukia stering

Liverfool nyie viaz tu, record zenu tunazo
 
Ndani ya November

Saturday 2
Aston Villa 1 - 2 Liverpool

Sanday 10
Liverpool 3 – 1 Manchester City

Saturday 23
Crystal Palace - Liverpool

Saturday 30
Liverpool – Brighton and Hove Albion
Manager of the month
loading ...
 
Thought, Trent struggled a bit kwenye first half, mpaka Klopp alivyo-switch kwenda 4-4-2, ambayo ilitupa a good balance kwenye ku-attack + defend.

..and i've never liked Dejan Lovren, but he stepped-up massively today, one of our Top 5 performers kwa game ya leo. i'm so happy for him, hope Matip atarudi soon though, lol, thing about Lovren, you cant trust him moja kwa moja, but he had a very good game today. to be fair.
TAA gemu ya jana amestruggle sana hasa baada ya kutoka Henderson niliona klop kaswitch mane position lakini bado haikua msaada kidogo Ox alisaidia maana sterling angemuua yule dogo
 
My player's ratings

Alisson 6

Trent - 7

Lovren - 7.5

VVD - 8

Robertson - 8

Fabinho - 9

Wijnaldum - 9

Henderson - 4.5

Salah - 7

Mane - 8

Firmino - 7

Subs.

Ox - 6
Milner - 2
Gomez - 2
Chuki kwa Henderson zitawasaidia nini?
 
The crowd performance was awesome. That was Anfield for real. Wale walevi naona bia zao ziliwafikisha kileleni na kama msinge shinda mngewakoma. Ila kazi mliyotupa tutaenda kupambana nayo Etihad lazima tutumie udhaifu wake wa mabeki kuendeleza kilio.

Hongereni kwa ushindi.
 
Ukitaka kila anaecheza atengeneze chance hiyo itakuwa mbao fc sasa
Tatizo watu wengi mnashangaza

Ukiwa na midfield haitengenezi nafasi za kufunga ni tatizo au sio tatizo? Gini ni kiungo anaeweza kukaba kama kina Milner,Keita,Fabinho? Kama kukaba sio kipaji chake kwa macho yangu nilivyomuona tutegemee kuvuna nini Kutoka kwake kama tusitegemee atengeneze nafasi za kufunga Mkuu?
 
City's next 4 games.

i think, they'll beat Chelsea, as they always react well wakitoka kwenye kipigo.

but we should be hoping for one or two kati ya Utd/Arsenal and especially Leicester kuchukua points kwa City.

kama city wakipoteza game moja kati ya hizo AU ku-draw gamea 2 na sisi tukashinda games zetu zote nne zinazo kuja, then the title will be clear.

kama wakifanikiwa kukusanya 9 points hapo, and sisi tukapoteza/draw game moja, then tutakuwa in trouble.

so kwa hizi fixtures zao, i'm certain wata-drop point(s), sisi tunatakiwa tu-take advantage and win games zetu zote 4 zinazokuja, ambazo zote ni winnable.View attachment 1260092

Game against Chelsea akienda na kikosi alicholeta Anfield jana anadondosha another 3 pts mapema kwenye first half
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom