Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1091285
 
History siku zote huwa inawahukumu Barca wakiwa away, sio wazuri sana! Kuku, hongereni kwa ushindi. Lakini hii haina maana kwamba mtachukua kombe hili, ukame wenu upo pale pale, jiandaeni Ajax anakuja kuwavunja mifupa. Tukutane Madrid...
Messi ndie sio mzuri kwa away games
 
History siku zote huwa inawahukumu Barca wakiwa away, sio wazuri sana! Kuku, hongereni kwa ushindi. Lakini hii haina maana kwamba mtachukua kombe hili, ukame wenu upo pale pale, jiandaeni Ajax anakuja kuwavunja mifupa. Tukutane Madrid...
Tunaendelea kutunza hizi comments zenu,tafadhalini,msije kukimbia ile siku ambayo yaja.
 
Maana halisi ya mtaka yote kwa pupa hukosa yote ni kwa kuku wa kishingo mwaka huu..Liverpool 0-4 Barca...

Next match Briton anamwagiwa magoli kama njugu...kilichobakia kwenu ni KULIIBA TU hakuna namna mkuu...
Mkuu ni bora usingeandika 0-4 ulikosea sana. Angalia sasa kilichotupata[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom