Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Jana nimechakazwa balaaaaa, sokoine nilitoka bila, camp nou nako but mm bado na uhakika Liverpool atampiga Barcelona na kumtoa kwenye mashindano, piga ua Liverpool anaenda fainali
Barca wanaenda kutafuta draw pale ..ci unajua Anfield ni uwanja m'gumu bana![]()
Hata goli la Suarez, alimuangalia tuBeki wa Dunia leo alikuwa mpenzi mtazamaji, refer goli la pili
Hapo sasa unakosea ndugu. Kama Messi ni jiwe la pembeni Ronaldo ni la katikati.Ishia apo mzee babaa
Ronaldo tupilia mali ukooooo
Leo King Himself
Messi ni jiwe la pembeni.....
Hapa unasikitisha hahaHivi nitawaeleza nini wajukuu zangu kuwa Messi alifunga akiwa hapo na salah alikosa akiwa karibu kabisa na goli
View attachment 1085890
Hahahahahaha wale wa English midia wakija apa tutapoteana ..bora tumalize yetu mapema![]()

mkuu umenichekesha sana ...wale jamaa wanajiona wapo peke yao kudadeki zao.Ndio mjue hawatotokea tena watu kama kina john Terry,nemanja vidic na rio
Hii club wapumbavu wengi
Hicho kingereza ukiache maana unaandika brovken tupu. Eto your mother for brought! badala ya for bringingYah! Better to call me 'Mpumbavu' kuliko unachokionesha wewe hapa.
To say we will win the game ni upumbavu?
Ivi ata Cardiff City inapocheza na Chelsea unataka waseme "TUNAENDA KUFUNGWA HII MECHI?"
Je wakisema 'Tunaenda Kushinda' ni upumbavu?
Even Chelsea walisema tunaenda Kumfunga Man City na wakaishia Kula 6 lakini haikutafsiriwa kuwa ni Upumbavu you know why?
Kuwa na Matumaini kwa kila Jambo ndiyo inavyotakiwa.
Before calling me fool just think carefully how your mother is greatest fool ever for brought you to the world to add nothing but troublemaker.
Ni 3-0Yametimia.
Ni 3-0
Unavyowaona barca wepes,hata kuna watu walisema hivo hivo humu, ila kidogo liver ale 5, kila mech na tactic zake, ndio maana Jana akaanza Vidal kuvuruga tuPale Anfield lazima washinde. Beki ya Barca ni nyepesi sana sijui kwa nini wameshindwa kupata goli la ugenini. Tatizo litakua kuwazuia na wao wasifunge.
Tatizo barca msimu huu ana njaa na UCL, mess alifanya press camp nou akawaahid kulileta,Mwaka jana AS Roma walimuondoa Barca kwa staili ngumu
Cam nou Barca alishinda 4-1
Roma akashindwa kwa 3-0 na kutolewa wachezaji hawa hawa
Kipa wa Roma alikuwa ni huyu huyu wa Liverpool, Alison
Liverppol wamtumie Alisson maana siri ya ile comeback waliotumia Eusebio De Francesco mwaka jana anaijua
Haaa mkuu, barca wepes ,tatizo wana jiniMane dakika ya '102
Hicho kingereza ukiache maana unaandika brovken tupu. Eto your mother for brought! badala ya for bringing