Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hivi unaanzaje kufunga nne alafu wao wamesimama tu?
kibaya zaidi anfield liver atakuwa anafukuza mchezo, watalazimika kusonga sana mbele na magepu ya nyuma ndio zile kaunta walizokosa kina dembele sasa sidhani oama messi na suarez watakuacha.

Mkuu tumewafunga 4 bila huku wakiwa wamesimama .

Mkuu klopp kwenye mbinu yuko vizuri sana.barca katolewa huko na mess wao.liverpool na wachezaji wao mnaowaita wakawaida.

Mpira uwanjani pale sio maneno maneno.sasa hiyo aibu sijui unaificha wapi?
 
Malafyale popote ulipo ..ewe Liverpool KHALISI una imani kubwa sanaaa
Kaka nakuambia kila siku Liverpool tulipata sana bahati kumpata Klopp!
Hapa duniani kwa sasa nambadiri Klopp na PEP tu
Hata Man City kama kumuondoa Pep basi wapate Klopp
Tunachukua EPL Jumapili,hawa Man City kumfunga BHA ni ngumu kaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom