Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool Halisi mko wapi?

Najua soon mtakuja tu na hivyo vingeleza vyenu kufanya uchambuzi.

Wao 3 Nyinyi 0
Ha ha ha tumefungwa kihalali pia selection ya timu nayo imetuangusha lazima tukubal wana Liverpool wenzangu barca ipo juu zaidi yetu na tumeona zile kelele zetu toka mwaka Jana nakumbuka tulisema maneno ya kejel juu ya barca lakn ukwel timu za Spain huwa hatuziwez fuatilia final ya Europa chn ya huyu klopp tulipigwa final uefa Madrid akatupiga Leo semi final uefa barca anatuweka
 
IMG_5169.JPG
 
H

Hatukua na bahati leo,timu imecheza vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom