Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Katika vitu si sivielewi ni pamoja na Liverpool. Yan mnaamka katika wakati ambao usiotegemewa (kushinda) wakati mwingine mnalala muda usiostahili(kufungwa). Barca kuna kitu mmewafanyia si bure, yan zile fujo wale walevi wa Liverpool walizoenda kufanya kwenye hoteli ya Barca ndio zimewafanya vile. Au walifanya makosa kuwaanzisha Coutinho na Suarez kwa pamoja. Sasa mlishindwa nini kukifanya hiki kule kwao ili kumaliza kazi mapema.? Yan najiuliza maswali mengi bado sipati majibu. Daah mmetushangaza sana wapiga ramli.

It was a magnificent comeback. Congratulations.
 
Mbona unateseke bro?
Hiyo ndiyo maana home and away
 
Kop hivi FABINHO hatakuwa suspension kweli mechi ya Fainali kwa kadi mbili za njano alizopata kwenye mechi hizi mbili.
 
Vipi kuhusu reception ya Suarez na Coutinho ilikuaje?
Performance ya Messi?
Vipi VVD Leo kuhusu kumkaba Messi?
My Boy TAA je upo umuhimu wa kuekwa Bench kama alivyoekwa kwenye First Leg?

IMG_5206.JPG
 
Siwezi kuongeza lolote ila tunaposemaga hatukati tamaa Hadi dakika ya mwisho muwe unatuelewa an mpira Ni dk 90 sio kutype type tu..

Cc:king ngwaba Ni pm namba yako nikutumie hela ya vocha kidogo ili urudishe matumaini.
#Thisisliverpool#
#inkloppwetrust#
#YNWA#

Mkuu yani nimefurahi mpaka nashindwa nisemeje!!!!

Nisiwe Mnafiki niwe Mkweli!! Niliamini kwa Anfield Barca tutawafunga, Lakini Sikuwahi Kuamini Kuwa Barca Tutawatoa.

Nawapa Pongezi za Dhati Wale Wote Walioamini kuwa Tunaweza Kuwatoa Barca.[/B]

Sasa nimezaliwa upya kwenye Matumaini.

Naungana na Washona Suti
 
HEKO LIVERPOOL, NACHUKUA NAFASI HII KUWAPONGEZA LIVERPOOL KWA HATUA MLIYOFIKIA.
Mpira ni burudani,mpira ni ajira,mpira ni amani.Nikiwa kama the gunners nawapongeza mno kwa hatua hii kama ambavyo pia ningewapongeza Barca ikiwa wangewafunga.

Komaeni muibebe ndo.Komaeni mjenge heshima.
 
Vipi kuhusu reception ya Suarez na Coutinho ilikuaje?
Performance ya Messi?
Vipi VVD Leo kuhusu kumkaba Messi?
My Boy TAA je upo umuhimu wa kuekwa Bench kama alivyoekwa kwenye First Leg?

Messi alipata faulo aliyopata kama kwenye mechi iliyopita this time tukaizuia.messi tumemchezea faulo moja tu.

Suarez na coutihno reception kama tu mechi iliyopita , ila suarez walikuwa wanamzomea akishika mpira,Suarez ukolofi mwisho uwanjani,alisema hata shangilia leo anfield. Leo walijitahidi haja pata hata shot on target moja.

Performance ya messi leo ilikuwa nzuri sema nafasi alipata anapiga mipira nje,zingine alizopata kipa alikuwa anaokoa,na kwenye box anataka kupiga chenga watu wanamkaba.na kama ujafunga kwa yeye hakuna kitu.vvd kacheza vizuri sana hakuna mchezaji aliyempita hakuwa na uoga wowote.
.

TAA huyo dogo sasa ndio man of the match.amezuia vizuri sana amekaba sana nyuma alikuwa apitiki kabisa kabisa halafu anacheza kwa kujiamini sana,amepeleka mashambulizi mengi sana
IMG_5216.JPG

Huyo ndio amechangia sana ushindi wa leo,kwa kiwango alichokionesha leo hakuna wakumuweka bench pale Liverpool.hiyo ni beki bora kwa sasa ulaya .
 
TAA tunamtaka pale old trafford

Huyu hawezi kuuzwa! Ndiye Scourser pekee aliyebaki kwenye Kikosi kizima cha Liverpool.

Hakuna Mchezaji mwengine Aliyezaliwa na Kukulia katika Mji wa Liverpool badala ya yeye.

Hichi ndiyo kinachowapoza Nyinyi Kutumia Pesa Nyingi kusajili Mamluki badala ya kupromote Mancunian kutoka Academy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom