Mkuu naomba zile Gif za magoli ya leo tafadhali...Man of the match origi
Mkuu naomba zile Gif za magoli ya leo tafadhali...
Nazisubili mkuu...Poa naleta
AminaaaaaaaaMola Wanguuu Tunakushukuruuuu Bila Wewe Siye Si Kitu Tunasema Tenaaa Ahsanteeeee Ahsantee Baba
Atusaidie mechi ya mwisho EPL Man Shit pia atafunweeeeee...Mola Wanguuu Tunakushukuruuuu Bila Wewe Siye Si Kitu Tunasema Tenaaa Ahsanteeeee Ahsantee Baba