radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Hivi kwa mfano Pep ndo kocha pale Liverpool, Henderson hata bench angekuwepo, milner angekuwepo??? Nawaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka kujua kama fabian deph kamzidi kiwango henderson!!
Hapo ni kocha wenu tu na wachezaj kuwaandaa kiakili mzimu unawatesa wa kukosa makombe
Solskjaer ana key player kama wa nne wapo nje bado anahimili nasema ni saikolojia ya wachezaj wenu tu hawajui wanapambania nini
drops.