Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mechi bado nyingi mno point moja sio inshu labda angewakata city kuanzia 6 au 9 mzee point moja? Ambayo hata yeye ushindi wake tiamaji tiamaaji?

Man city-Watford on Saturday, city lazima aondoke na point 3....mark my words! Ntaifufua hii comment
 
I'm already a dead body

Pole sana King!
But I knew this to happen as we start losing team winning mentality yaani tangu tu pale tulipoingia 2019.

Vijana walikuwa wanasindikiza tu huku Klopp asijue nini cha kufanya.
 
Baada ya game dhidi ya Burnley 10/03 Arnfield, hizi ndio game zetu zilizobakia.

Screenshot_20190303-223003_Goal Live.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We will do the ‘hard way’
Liverpool way
Down to the wire
Mechi hii ilikuwa ngumu sana,Everton wameingia kuharibu tu lkn Salah ndiyo katuua zaidi
Mechi hizi nne ndiyo zitatoa bingwa wa EPL
Liverpool vs Spurs vs Chelsea
Man City vs Spurs vs Man U
Tuna advantages kubwa sababu sisi ndiyo tutaanza kucheza na hawa wawili!
Bado nina imani kubwa sana!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Iv hapa klop anahitajika aje afunge???View attachment 1037214

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mm nashangaa sana mashabiki hawa uchwara!
Huyu mwarabu Salah hovyo sana,yaani ile kamuacha Kane mbali sana hadi kamfikia!
Ile ya kipindi cha kwanza hadi akina Zouma wamesimama sababu waliisha chelewa kabaki yy na kipa anashindwa funga!
Sasa Klopp hizi nafasi 2 kubwa afanye nn?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hah mkuu delph anaafadhal maan hata beki kucheza anafaa sio lile guta ambalo brandy rodger aliliambia lipotee tu lfc

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamna mkuu ni mentality ya wachezaji wenu hawajui nini wanatakiwa kufanya hebu chukulia kikosi cha leicester city kilivyobeba ndoo ujue mtalaumu kocha bure hapa

Sisi manchester tumebeba ubingwa kiungo akiwa Tom cleverly
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom