Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Ukiona Man City anaongoza league jua WANAUME hawajacheza!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mda mwingine tunaweza hisi Klopp anafanya makosa ktk upangaji wa kikosi lakin kumbe wenyetimu na wenye mji na wenye nchi yao kiujumla ndio wanataka hivyoAs usual, the Echo's Journalists calaimed we nid an experienced players kwenye derby only to include Hendo and Milner in the line-up as we won against Man United with those experienced Midfielders... Lol Unfucking believable
namba 2 naona ndio kikwazo kikubwa kwetu.Atakae fanya makosa Kati ya sis LFC au Man city kwa sasa basi atakuwa kampa mwenzake upenyo wa kunyenyua kwapa mwenzake
Salama yetu kwa sasa ni kuwin game zote zilizo baki na hili linawezekana
Kama mambo yafuatayo yatakaa sawa
1.tusipate injury kwa sasa
2.klopp afanye kitu cha maana ktk upangaji wa kikosi
3.wachezaji wawe na mentality ya kuwin trophy
Vikiwezekana hivyo hakuna namna EPL 2018/2019 ni yetu
#YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
atakua mjinga wa mwisho kuwasikiliza hao..soon wataanza kutamani aodoke hao hao ambao wanampangia kikosi...Mda mwingine tunaweza hisi Klopp anafanya makosa ktk upangaji wa kikosi lakin kumbe wenyetimu na wenye mji na wenye nchi yao kiujumla ndio wanataka hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
hope wen they step up thier development in 1st team chances il b afforded to showcase thier inputs...Hope Bobby Duncan is a right man to wear Fowler's boots
same tu..japo kwa Klopp huyu lazima amix hapo na aidha Hendo or Millie...My Line-up today:
If Firmino not fit to play
ORIGI - MANE - SALAH
KEITA - FABI - GINI
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ALLISON
between now and May, everyone (repeat EVERYONE) is going to drop points. a team that will drop relatively lesser points will have a bigger chance.Atakae fanya makosa Kati ya sis LFC au Man city kwa sasa basi atakuwa kampa mwenzake upenyo wa kunyenyua kwapa mwenzake
Salama yetu kwa sasa ni kuwin game zote zilizo baki na hili linawezekana
Kama mambo yafuatayo yatakaa sawa
1.tusipate injury kwa sasa
2.klopp afanye kitu cha maana ktk upangaji wa kikosi
3.wachezaji wawe na mentality ya kuwin trophy
Vikiwezekana hivyo hakuna namna EPL 2018/2019 ni yetu
#YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app