Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,107
- 10,473
Mambo ni mengi,muda ni mchache...Huo ndio ukweli maana japo jana tumefungwo tukumbuke pia tulipata nafasi za kufunga japo hatukutumia vyema na hatimae kufungwo...
hivyo ukweli wa kuchukua EPL upo pale pale hakuna kingine ni mwendo tena wa kugawa dozi...
YNWA.
Ahahaaaah...
Never lose hope mkuu,hizi changamoto zisikutishe,naamini ulizitegemea..!
Do I kill my self or do I throw away my phone?