Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Juu una Keita, una Xhaqiri, then unaingiza Milner na Lallana?
Hawa Waingereza sijui kama Hawamrifi Klopp 😡😡
Hadi nahisi may be kwenye kipengele chake cha mkataba kuna sharti la "English player should be given first priorities kwenye first eleven and sub maana hata Mwambusi hawezi fanya haya
 
Tushaga sema mildfield ya hendo millie na gin haifai tazama klopp alivyo punguwani wa akil anamtoa gini anamuweka millie duh vijana wakapata na nguvu ya kutushambulia manina
Kinachoboa zaid wapuuzi wachache humu wanamtetea kwa kuyaamin yale maingereza matatu

Wapare wanasema hivi kipare "" wandu wa klopp wethina kindu na klopp e mdhuti"



Sent using Jamii Forums mobile app
wapare wote tujuane mkuu kauwa huku
 
Mi nilitaka nishangae.yan le super capitan mwenyewe steve G kokobanga hakunyanyua makwapa ....leo huyu captain material .super hendo ataweza kweli nyanyua makwapa?
 
Kila mtu ashinde mechi zake
IMG-20190303-WA0005.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom